-
Somaliland yajitoa kimasomaso, yakanusha kuafiki kujengwa kambi za kijeshi za Israel
Jan 01, 2026 23:16Eneo la Somaliland la kaskazini mwa Somalia limekanusha madai kwamba lilikubali kuwa mwenyeji wa vituo vya kijeshi vya Israel na kuwapokea Wapalestina waliofurushwa kutoka Gaza ili kutambuliwa na Israel.
-
Kwa nini kiwango cha kujiua katika jeshi la Israel kimefikia kiwango cha juu zaidi?
Jan 01, 2026 23:06Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Isarel, kwa kukiri kujiua kwa makumi ya wanajeshi wake, limekubali kuwa jumla ya wanajeshi 151 wamepoteza maisha katika mwaka huu wa sasa.
-
Iran yatahadharisha kuhusu vitisho vya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia
Jan 01, 2026 08:52Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa na taasisi nyingine za kimataifa mjini Geneva, Uswisi ametahadharisha kuwa hatua ya Marekani ya kuhalalisha vitisho dhidi ya vituo vya nyuklia vya nchi hii ianahatarisha itibari na hadhi ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT).
-
2025, mwaka mbaya zaidi kwa Wapalestina kufuatia mauaji ya kimbari ya Israel
Jan 01, 2026 08:51Ofisi Kuu ya Takwimu ya Palestina imeripoti kuwa mwaka 2025 ulikuwa mwaka mbaya zaidi katika uga wa kibinadamu na idadi ya jamii ya watu huko Palstina kutokana na vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kuongezeka kwa ukiukaji wa sheria katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ikiwa ni pamoja na Quds Mashariki.
-
UN yakumbana na hali mbaya El Fasher katika ziara yake ya kwanza tangu mji huo udhibitiwe na RSF
Jan 01, 2026 07:43Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa mji wa El- Fasher huko Darfur Magharibi nchini Sudan unapitia hali ya kutisha kwa binadamu.
-
Wanajeshi wa Marekani washambulia meli 5 na kuuwa watu 8 huku mvutano kati ya US na Venezuela ukishtadi
Jan 01, 2026 07:26Jeshi la Marekani limeanzisha mashambulizi mapya dhidi ya boti zinazodaiwa kuwa zimehusika na magendo ya dawa za kulevya, huku mvutano kati ya Wahington na Venezuela ukipamba moto.
-
Ujumbe wa wazi kutoka Russia kwa Marekani na Israel; sitisheni vitisho dhidi ya Iran
Jan 01, 2026 06:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosoa vikali vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, na kusema jamii ya kimataifa inapinga sera hizo za vitisho.
-
Al-Azhar: Wanawake Waislamu ndio waathiriwa wakuu wa ubaguzi barani Ulaya
Jan 01, 2026 06:26Taasisi ya Kiislamu ya Al-Azhar nchini Misri imeonya kuhusu mashaka yanayowapata wanawake Waislamu barani Ulaya kutokana na ubaguzi.
-
Mamdani ala kiapo kwa Qur'ani, sasa rasmi ni Meya wa New York
Jan 01, 2026 05:06Zohran Mamdani leo amekuwa Meya wa kwanza wa Jiji kubwa zaidi la Marekani la New York baada ya kuula kiapo akitumia kitabu cha Qur'ani.
-
Wizara ya Usalama imewatia mbaroni watu 7 wenye mfungamano na makundi adui yaliyoko US, UK
Jan 01, 2026 03:42Wizara ya Usalama na Intelijensia ya Iran imewatia mbaroni watu saba wanaohusishwa na makundi yenye uadui na Jamhuri ya Kiislamu ambayo yana makao yao Marekani na barani Ulaya.