-
Rais wa Somalia: Somaliland inashirikiana na Israel dhidi ya Wapalestina
Dec 31, 2025 22:56Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amezinukuu ripoti za kiitelijinsia na kusema kuwa eneo lililojitenga la na nchi hiyo la Somaliland limekubali kuwapokea Wapalestina na kuanzishwa kambi ya kijeshi ya Israel katika eneo hilo mkabala wa kutambuliwa rasmi na Israel.
-
Israel yasitisha shughuli za mashirika ya misaada zaidi ya 30 huko Gaza chini ya sheria mpya za usajili
Dec 31, 2025 22:55Israel imesimamisha shughuli za mashirika ya kimataifa 30 ya masuala ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Waandishi wa habari na watetezi wa haki za binadamu wamekosoa na kulaani vikali hatua hiyo ya utawala wa Kizayuni.
-
Ukatili wa kingono dhidi ya watoto nchini Kongo umekithiri na ni wa kimfumo
Dec 31, 2025 22:55Ukatili wa kingono dhidi ya watoto limekuwa jambo la kawaida, la kimfumo na unazidi kuongezeka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF).
-
Vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran; ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa
Dec 31, 2025 08:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa, vitisho vya Trump dhidi ya Iran ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Bunge la Iran lapongeza kurushwa kwa mafanikio satelaiti tatu katika anga za mbali
Dec 31, 2025 08:56Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepongeza kurushwa kwa satelaiti tatu zilizotengenezwa zilizotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini, na kuitaja hatua hiyo kuwa mafanikio ya kihistoria katika mpango wa anga za mbali wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais Pezeshkian: Iran itatoa jibu kali na la kumjutisha adui
Dec 31, 2025 07:59Rais wa Iran amesisitiza kwamba, jibu la Jamhuri ya Kiislamu kwa uchokozi wowote litakuwa kali na litamfanya adui ajute.
-
Rais wa Somalia: Israel inataka kudhibiti njia za baharini Pembe ya Afrika
Dec 31, 2025 06:48Rais wa Somalia kwa mara nyingine amelaani uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa kutambua ramsi kujitenga Somaliland na maeneo mengine ya Somalia nakusisitiza kuwa, lengo la Israel ni kudhibiti njia muhimu na za kiistratijia za baharini kwenye eneo la Pembe ya Afrika.
-
Kisu cha ngariba; Vijana 41 waaga dunia Afrika Kusini wakipashwa tohara
Dec 31, 2025 06:47Takriban vijana 41 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na taratibu 'zisizofaa' za upashaji tohara nchini Afrika Kusini mwezi Novemba na Desemba mwaka huu unaomalizika wa 2025, mamlaka za nchi hiyo zilitangaza hayo jana Jumanne.
-
Radiamali ya Russia kwa vitisho vipya vya US, Israel dhidi ya Iran
Dec 31, 2025 06:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amejibu vitisho vya hivi karibuni vilivyotolewa na Rais wa Marekani na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
-
Jibu la Iran kwa uchokozi wowote litamfanya adui ajute
Dec 31, 2025 04:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba jibu la Iran kwa uchokozi wowote litamfanya adui ajute.