-
Somaliland katika kitovu cha kuzingatiwa kijiopilitiki; Je Israel inataka kutia mguu katika Lango Bahari la Bab al-Mandab?
Dec 30, 2025 22:53Mataifa na asasi mbalimbali za Kiafrika, Kiarabu na Kiislamu zimepinga vikali hatua ya utawala vamizi wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland', ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili, hatua ambayo imekabiliwa na radiamali kali ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa.
-
Somaliland; nukta ya makutano ya maslahi ya kimataifa na njama za Kizayuni
Dec 30, 2025 09:07Hatua ya utawala vamizi wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.imekabiliwa na radiamali kali ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa.
-
Mauzo ya nje ya Iran barani Afrika yamepanda kwa 77% katika miezi minane iliyopita
Dec 30, 2025 09:06Takwimu rasmi zinaonyesha ukuaji wa mauzo ya nje ya Iran kwa nchi za Afrika katika miezi minane iliyopita.
-
"Ufalme wa Simulizi" - Marekani Inajitakasishaje Kupitia Vyombo vya Habari?
Dec 30, 2025 07:24Kipindi hiki kinachunguza kwa makini nafasi ya vyombo vya habari vya Hollywood na mitandao ya habari yenye uhusiano na taasisi zenye nguvu na madaraka huko Marekani, hasa kampuni ya utengenezaji filamu ya Millennium Media, katika kujenga upya, kutakatisha sura ya Marekani na kuhalalisha sera zake za kuingilia kati masuala ya nchi nyingine duniani. ********
-
Majeshi ya Iran: Tumejiandaa kutoa pigo kali kwa uchokozi wowote wa adui
Dec 30, 2025 07:15Vikosi vya Ulinzi vya Iran vimetangaza kuwa, vimejiandaa kikamilifu kutoa majibu makali kwa tishio lolote la usalama wa Jamhuri ya Kiislamu na watu wake na kuonya kwamba, uchokozi wowote mpya wa uadui dhidi ya Iran utakuwa mkali zaidi, angamizi zaidi na wenye madhara makubwa zaidi kuliko huko nyuma.
-
Abu Obeida; Nembo ya uvumilivu wa Wapalestina na moyo hai wa Muqawama
Dec 30, 2025 07:13Jana Jumatatu, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ilithibitisha kwamba msemaji wa harakati hiyo, Abu Obeida aliuawa shahidi mapema mwaka huu katika shambulio la anga la Israel.
-
Zaidi ya wahamiaji 3,000 wamefariki wakiwa njiani kuelekea Uhispania mwaka 2025
Dec 30, 2025 07:12Takwimu mpya zinaonesha kuwa zaidi ya watu 3,000 wamefariki dunia wakati wakijaribu kufika Uhispania kwa njia ya baharini katika mwaka huu 2025 unaoelekea kuisha.
-
Afrika Kusini yatangaza rasmi kuunga mkono uhuru wa kujitawala ardhi yote ya Somalia
Dec 30, 2025 07:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Afrika Kusini imetoa tamko rasmi na kutangaza wasiwasi wake kuhusu tangazo la hivi karibuni la utawala wa Kizayuni la kuitambua Somaliland kama nchi huru.
-
Kwa mara nyingine Saudia yaishutumu Imarati kuhatarisha usalama wake wa taifa
Dec 30, 2025 07:11Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imetoa taarifa kali mno leo Jumanne ikiushutumu Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba unahatarisha usalama wa taifa na haki ya Saudia ya kuchukua maamuzi.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wasisitiza kukabiliana na vyanzo vya machafuko katika eneo
Dec 30, 2025 03:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, na mwenzake wa Oman, Sayyid Badr bin Hamad bin Hamood Albusaidi, wamesisitiza umuhimu wa mashauriano na uratibu endelevu kati ya nchi za Kiislamu ili kukabiliana na sababu zinazochochea mgawanyiko na machafuko katika eneo.