-
Araqchi: Jenerali Soleimani alikuwa 'Mbunifu wa Mhimili wa Muqawama' Magharibi mwa Asia
Dec 29, 2025 08:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemsifu shahidi na kamanda wa vita dhidi ya ugaidi, Luteni Jenerali Qassim Soleimani na kumtaja kuwa "mbunifu wa Mhimili wa Muqawama" katika eneo Magharibi mwa Asia.
-
EAC yaunga mkono mamlaka ya kujitawala Somalia baada ya Israel kuitambua rasmi Somaliland
Dec 29, 2025 06:26Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imevunja ukimya wake kuhusu hali ya mvutano unaoendelea nchini Somalia na Somaliland, na kuthibitisha uungaji mkono wake kwa Somalia.
-
Jeshi la Iran: Tupo katika hali bora zaidi kumkabili adui
Dec 29, 2025 06:23Jeshi la Iran limeonya kwamba, hatua yoyote ya uadui kutoka kwa maadui itakabiliwa na jibu kali, huku likisisitiza juu ya utayarifu wake wa kulilinda na kulihami taifa.
-
Mohammed Shia' al-Sudani: Iran haiingilii mambo ya ndani ya Iraq
Dec 29, 2025 06:21Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiingilii masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wasomali waandamana kuilaani Israel kwa kuitambua Somaliland
Dec 29, 2025 06:20Mamia ya wanachi wa Somalia jana Jumapili walifanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hyo, Mogadishu kupinga na kulaani uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kuitambua kana nchi huru Somaliland, eneo la kaskazini mwa Somalia ambalo lilijitangazia uhuru wake mwaka 1991.
-
Araqchi: Tunaunga mkono mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Yemen
Dec 29, 2025 04:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi amesema kuna ulazima wa kulindwa umoja wa ardhi na mamlaka ya kujitawala ya Yemen, huku kukiwa na ongezeko la mvutano katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ulimwengu wa Spoti, Dec 29
Dec 29, 2025 03:34Hujambo mpenzi mskilizaji na hususan mfuatiliaji wa matukio ya spoti na karibu katika kipindi chetu cha mwisho mwaka huu 2025, tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia ikiwemo michuano ya AFCON inayoendelea kurindima nchini Morocco.
-
Muungano wa Waandishi wa Habari: Israel imewaua wanafamilia 706 wa waandishi wa habari huko Gaza
Dec 29, 2025 03:30Jeshi la Israel limewaua watu 706 kutoka familia za waandishi wa habari katika Ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa vita vya mauaji ya kimbari mnamo Oktoba 7, 2023. Taarifa hii ni kwa kujibu wa ufuatiliaji na nyaraka za Muungano wa Waandishi wa Habari wa Palestina.
-
Msimamo wa Uingereza dhidi ya wahamiaji wa DRC; kwa nini London inashadidisha mashinikizo dhidi ya nchi za Kiafrika?
Dec 29, 2025 03:28Uingereza imeibua wimbi kubwa la mijibizo na malalamiko ya ndani na ya kimataifa kwa hatua yake ya kuweka vizuizi vya viza na kupitisha mageuzi makali kwa utoaji hifadhi ya ukimbizi.
-
Kiongozi wa Yemen: Tutachukua hatua za kijeshi dhidi ya uwepo wowote wa Israel huko Somaliland
Dec 29, 2025 03:27Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kwamba uwepo wowote wa Israel huko Somaliland utatambuliwa kama shabaha ya kijeshi, kwa sababu ni uchokozi dhidi ya Somalia na Yemen na tishio la moja kwa moja kwa usalama wa kikanda ambalo lazima likabiliwe kwa hatua madhubuti.