-
Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia
Dec 28, 2025 00:05Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kukiukaji wazi mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Somalia.
-
Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia
Dec 28, 2025 00:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kukiukaji wazi mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Somalia.
-
Somalia yaitaka Israel ifute uamuzi wake wa kuitambua Somaliland
Dec 27, 2025 23:23Somalia imeitaka Israel kubatilisha hatua yake ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili. Somalia imelaani hatua hiyo na kuitaja kuwa kitendo cha "uchokozi ambacho kamwe hakitavumiliwa.
-
Guinea Conakry kufanya uchaguzi wa urais wa kihistoria leo Jumapili; Mamadi Doumbouya anashiriki
Dec 27, 2025 23:22Guinea Conakry leo Jumapili inatarajiwa kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa urais tangu baada ya mapinduzi ya kijeshi mwaka 2021. Zoezi hili linayoashiria hatua muhimu katika kipindi cha uongozi wa mpito wa nchi hiyo kuelekea katika utawala wa kikatiba.
-
Trump adai: Zelensky hana mpango wowote kwa ajili ya amani ya Ukraine
Dec 27, 2025 23:21Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine hana mpango wowote hadi yeye Trump aidhinishe.
-
China yaweka vikwazo kwa makampuni ya Marekani kwa sababu ya mauzo ya silaha kwa Taiwan
Dec 27, 2025 23:20China imeyawekea vikwazo makampuni 20 ya ulinzi ya Marekani na watendaji wake 10 wakuu kutokana na shehena kubwa zaidi ya mauzo ya silaha za Marekani kwa Taiwan.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unaogopa uhuru wa vyombo vya habari?
Dec 27, 2025 23:16Bunge la utawala ghasibu wa Israel (Knesset) limelipa idhini baraza la mawaziri la utawala huo kufunga kanali za televisheni za kigeni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kwa muda wa miaka miwili ijayo, hata katika wakati wa amani bila ya amri ya mahakama.
-
Balozi wa Iran nchini Russia na Mufti wa Moscow wasisitiza ushirikiano wa kidini
Dec 27, 2025 08:47Kazem Jalali, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amekutana na kufanya mazungumzo na Albir Hazrat Krganov, Mufti wa Moscow na Mwenyekiti wa Baraza la Kiroho la Waislamu wa Russia, na kujadili namna ya kupanua ushirikiano wa kidini.
-
Hamas: Kutambuana kati ya "Israel" na "Somaliland" ni mfano hatari
Dec 27, 2025 08:41Harakati ya Kiislamu ya kupigania ukombozi wa Palestina (Hamas) imetangaza leo Jumamosi upinzani wake dhidi ya tangazo la utawala uliojitenga na Somalia katika eneo la "Somaliland" la kutambuana rasmi na Tel Aviv, ikisisitiza kuwa hatua hiyo "ni mfano hatari na jaribio lililoshindwa la kupata uhalali bandia dola vamizi linalohusika katika uhalifu wa kivita na mauaji ya kimbari."
-
Ujumbe wa kwanza wa Umoja wa Mataifa wawasili El Fasher kutathmini hali ya mambo
Dec 27, 2025 07:46Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema shirika hilo limefanikiwa kupeleka ujumbe wa tathmini huko El Fasher, mji mkuu wa Jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan.