-
Greta Thunberg: Israel ilinitesa na wanaharakati wengine wa Gaza Flotila
Oct 08, 2025 08:55Mwanaharakati wa masuala ya hali ya hewa wa Uswidi, Greta Thunberg ameeleza kuwa yeye na wanaharakati wengine wa msafara wa Sumud au Global Sumud Flotilla uliokuwa ukielekea Gaza waliteswa na kunyanyaswa walipokuwa wakishikiliwa katika magereza ya Israel baada ya jeshi la wanamaji la utawala huo kuwatia nguvuni katika maji ya kimataifa.
-
Qalibaf: Kimbunga cha al-Aqswa kimeipeleka dunia upande wa kuufuta "Umarekani" na kutetea wanaodhulumiwa
Oct 08, 2025 04:20Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa iliyotokelezwa na wanamuqawama wa Palestina dhidi ya Israel iliipeleka dunia upande wa kuufuta "Umarekani" na kutetea wanaodhulumiwa.
-
Uungaji mkono wa kimaonyesho wa Uturuki kwa Palestina; Ukweli uliofichwa nyuma ya pozi za kidiplomasia
Oct 08, 2025 04:19Matamshi ya Umit Özdag mwanasiasa wa Uturuki kuhusu Palestina yameibua radiamali kubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
-
Waungaji mkono wa Palestina watishia kufutwa mechi ya Italia na Israel ya kuwania tiketi ya kombe la dunia
Oct 08, 2025 03:30Wananchi wa Italia na waungaji mkono wa Palestina wametoa wito wa kuufutwa mechi ya soka kati ya Italia na utawala ghasibuu wa Israel wakilalamikia mauaji na jinai za israel dhidi ya Wapalestina katika Uukanda wa Gaza.
-
Guterres ataka kuhitimishwa vita vya Gaza sambamba na kutimia miaka miwili ya jinai za Israel
Oct 08, 2025 03:07Katika kuadhimisha mwaka wa pili wa Vita vya Gaza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza wito wake wa usitishaji wa kudumu wa vita Gaza, akielezea maafa ya vita hivyo kama maafa ya kibinadamu yasiyokuubalika.
-
Rais wa Madagascar kufanya mazungumzo ya kitaifa leo
Oct 08, 2025 03:06Rais Andry Rajoelina wa Madagascar amesema anapanga kufanya "mazungumzo ya kitaifa" na makundi mbalimbali leo Jumatano baada ya vijana waandamanaji kutoa makataa ya saa 48 ili akubali matakwa yao la sivyo akabiliwe na maandamano ya kitaifa.
-
Umoja wa Mataifa waeleza wasiwasi kuhusu machafuko kaskazini mwa Msumbiji
Oct 08, 2025 03:05Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi ulionao kuhusu idadi kubwa ya raia wanaokimbia machafuko yanayoendelea kaskazini mwa Msumbiji, ambapo wengi wao wamefikia hatua ya kukata tamaa.
-
Araghchi: Wamarekani wataabani kuingia vitani kupigana kwa ajili ya "vita visivyo na mwisho" vya Israel
Oct 07, 2025 23:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mjibizo kwa kauli ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu na kueleza kwamba: Wamarekani wataabani kuingia vitani kupigana kwa ajili ya "vita visivyo na mwisho" vya Israel.
-
Hamas: Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa lilikuwa jibu la kihistoria kwa njama za kufuta kadhia ya Palestina
Oct 07, 2025 23:12Msemaji wa harakatin ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amesema kuwa, Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa haikuwa vita tu vya kuwashinda wavamizi, bali ni hatua ya mabadiliko ambayo ilifichua sura halisi ya wavamizi hao na kuwatenga.
-
Putin: Suluhisho la kadhia ya nyuklia ya Iran ni mazungumzo
Oct 07, 2025 23:12Katika mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitizia ulazima wa kutatuliwa suala la nyuklia la Iran kwa njia ya mazungumzo na ndani ya fremu ya sheria za kimataifa.