-
Mazungumzo ya waasi wa M23 na serikali ya Kinshasa katika hatihati
Oct 07, 2025 23:12Wakati mapigano yakiripotiwa kuendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumeibuka swali iwapo awamu ya sita ya mazunguumzo kati ya kundi waasi AFC/M23 na serikali ya Kinshasa yatafanyia juma hili jijini Doha kama ilivyotangazwa na mpatanishi nchi ya Qatar au la.
-
UNHCR: Marekani imekuwa ikifukuza wahamiaji kinyume cha sheria
Oct 07, 2025 23:11Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa limekosoa vikali sera za Marekani kuhusiana na wahamiaji na kueleza kwamba, imekuwa ikifukuza wahamiaji kinyume cha sheria.
-
Mapitio ya jinai za Magharibi na Marekani katika kipindi cha miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu Afghanistan
Oct 07, 2025 23:11Moja ya jinai muhimu zaidi zilizofanywa na Marekani katika karne ya 21 ni kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa miaka 20 na uhalifu wake nchini humo.
-
Miaka miwili baada ya pigo la kihistoria la HAMAS dhidi ya Israel
Oct 07, 2025 08:57Leo imetimia miaka miwili tangu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilipotekeleza operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa na kutoa pigo kubwa na la kihistoria dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Mpango wa Trump; majibu ya Hamas na mvutano mkubwa katika baraza la mawaziri la Israel
Oct 07, 2025 07:57Wakati mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza yameingia mwaka wake wa pili, hivi karibuniRais Donald Trump wa Marekani aliwasilisha mpango wenye vipengele 20 akidai usitishaji vita huko Gaza.
-
Uhispania kuiburuza Israel ICC kwa kunyanyasa wanaharakati wa msafara wa Sumud
Oct 07, 2025 07:47Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uhispania, Fernando Grande-Marlaska amesema kuwa, hatua za kisheria huenda zikachukuliwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya Israel baada ya utawala wa Kizayuni kuvamia raia wa Uhispania waliokuwemo kwenye msafara wa Sumud au Global Sumud Flotilla uliokuwa unajaribu kuwafikishia msaada wananchi wa Ghaza.
-
Ulaya haina haki ya kutoa maoni kuhusu uwezo wa kiulinzi wa Iran
Oct 07, 2025 07:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepinga vikali madai ya uingiliaji kati na yasiyo na msingi ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi na Umoja wa Ulaya, alkiwaonya viongozi wa nchi za Ulaya na Magharibi kwamba hawana haki ya kusema chochote kuhusu uwezo wa kiulinzi wa Iran.
-
Kuanguka kizoro katika uso wa Israel - Mwaka wa Pili wa Kimbunga cha al Aqsa
Oct 07, 2025 07:05Historia muda wote imethibitisha kwamba, msimamo imara na kutotetereka mataifa ya dunia katika kupigania ukombozi, siku zote hushinda utumiaji mabavu, vita, njama na mauaji ya umati. Hiyo ni ahadi ya Qur'ani Tukufu ambapo katika Surat Muhammad, aya ya 7 tunasoma: "Mkimnusuru Mwenyezi Mungu basi na Yeye atakunusuruni."
-
Wanajeshi wengine sita wa Israel waangamizwa na kujeruhiwa huko Ghaza
Oct 07, 2025 06:56Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kutokea tukio zito la kiusalama kwa wanajeshi wa utawala huo dhalimu huko kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Vikosi vya usalama vya Kongo vyashutumiwa kwa unyanyasaji
Oct 07, 2025 06:50Tangu mapema mwezi huu wa Oktoba, kikosi cha ulinzi wa rais wa Kongo Brazzaville kimeanzisha operesheni dhidi ya magenge ya wahalifu ya vijana wanaoshambulia watu kwa mapanga wanaojulikana kwa jina maarufu la 'bebe noir' au watoto weusi.