-
Vurugu uchaguzi mdogo Kenya zaibua wasiwasi kuelekea uchaguzi mkuu 2027
Jul 18, 2026 03:30Mashambulio dhidi ya wapiga kura wakati wa uchaguzi mdogo katika eneo bunge la Ol Kalou katika mkoa wa kati nchini Kenya, yameibua hofu kuhusu hali ya usalama kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani 2027.
-
Mossad, Epstein na operesheni za siri: Vance aishambulia Israel na kusema umaarufu wake umeporomoka
Jul 18, 2026 03:16Katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance aliishambulia Israel na kuishutumu kuwa inajaribu kushawishi siasa za Marekani, akisisitiza kuwa umaarufu wake umepungua nchini Marekani.
-
Mateka wa zamani Muisraeli huko Gaza: Ninapata amani ninaposikiliza Qur'ani
Jul 18, 2026 03:15Hadithi ya mateka wa zamani wa Hamas, Emily Damari imevuma tena katika vyombo vya habari katika tukio lililozua dhoruba ya hasira ndani ya duru za Israel na kwenda mbali zaidi hadi kutolewa wito mwanamke huyo arudishwe matekani huko Gaza!
-
Tucker Carlson: Marekani inakabiliwa na tishio la mapinduzi ya umma
Jul 18, 2026 03:12Mwanahabari maarufu wa kihafidhina wa Marekani amesema kwamba nchi hiyo inakabiliwa na tishio la mapinduzi ya umma.
-
Kulipiza kisasi damu ya Imam shahidi kutaendelea hadi kuondoka Marekani katika eneo hili na kuangamia utawala wa Kizayuni
Jul 17, 2026 12:07Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, kulipiza kisasi damu ya Imam shahidi kutaendelea hadi kuondoka Marekani katika eneo hili na kuangamia utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mkurugenzi wa Huduma za Dharura Gaza: Asilimia 80 ya uwezo wa uokoaji umeharibiwa
Jul 17, 2026 11:46Mkurugenzi wa Huduma za Dharura katika Ukanda wa Gaza amesema kuwa takribani asilimia 80 ya uwezo wa huduma za uokoaji na misaada ya dharura umeangamizwa kutokana na mashambulizi na uharibifu unaoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel katika eneo hilo.
-
Mpango wa kuvunjwa Bunge la utawala wa Kizayuni (Knesset) wapitishwa rasmi
Jul 17, 2026 11:45Rasimu ya sheria ya kuvunjwa Bunge la utawala wa Kizayuni (Knesset) imepitishwa rasmi, hatua inayofungua njia ya kuitisha uchaguzi mpya wa mapema Israel.
-
Muqawama wa Kiislamu wa Iraq watangaza zawadi ya dola milioni 10 kwa atakayemuua Trump
Jul 17, 2026 11:43Muqawama wa Kiislamu wa Iraq (Islamic Resistance in Iraq) umetangaza zawadi ya dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayemuua Rais wa Marekani, Donald Trump.
-
Ajali mbaya ya basi la shule Uganda yaua watoto 20
Jul 17, 2026 11:41Watoto wasiopungua 20 na mtu mmoja mzima wamefariki dunia baada ya basi la shule walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika Wilaya ya Kapchorwa, mashariki mwa Uganda, polisi wamesema.
-
Iran yaendeleza mashambulizi dhidi ya Kambi za Jeshi la Marekani kulipiza kisasi jinai
Jul 17, 2026 04:14Kufuatia hujuma za kikatili za jeshi la kigaidi la Marekani dhidi ya madaraja kadhaa katika maeneo ya kusini mwa Iran, operesheni kubwa na endelevu ya makombora na droni za Iran imetekelezwa usiku wa kuamkia leo dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.