-
Watu 6 wenye mfungamano na mitandao ya adui watiwa mbaroni Tehran
Jul 05, 2026 03:44Askari usalama wa mji wa Tehran wamewatia baroni watu sita waliokuwa wakifanya kazi katika mitandao ya maadui na dhidi ya mapinduzi. Mamluki hao walitiwa mbaroni katika eneo la Pardis, mashariki mwa mkoa wa Tehran.
-
Zaidi ya Wasudan 1,000 warejea nyumbani kwa hiari kutoka Misri
Jul 05, 2026 03:42Jumla ya raia 1,174 wa Sudan wamerejea nchini kwa hiari wakitokea Misri, ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea kufanywa na Sudan za kuwarejesha nyumbani raia wake wanaotaka kurejea kutoka nje ya nchi.
-
Mamilioni wajitokeza Tehran kutoa heshima zao za mwisho kwa Kiongozi Shahidi Khamenei
Jul 04, 2026 11:45Mamilioni ya watu leo wamejitokeza katika Musalla wa Imam Khomeini mjini Tehran na kutoa heshima zao za mwisho kwa Kiongozi Shahidi Imam Khamenei aliyeuawa shahidi Februari 28 mwaka huu katika mashambulio ya kinyama ya Marekani na utawala haramuu wa Israel.
-
Mazishi ya Kiongozi Shahidi Khamenei yagongwa vichwa vya habari ulimwenguni
Jul 04, 2026 11:43Vyombo vya habari kama vile mashirika ya habari, vituo vya televisheni na magazeti ya kimataifa vimeonyesha umuhimu mkubwa kwa hafla ya mazishi ya Imam shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, ambapo tukio hilo limewekwa katika nafasi ya juu ya habari za kimataifa kwa kuripotiwa kwa karibu na kwa kina.
-
Mtafiti wa Russia: Iran imara urithi wa kimkakati wa Ayatullah Seyed Ali Khamenei
Jul 04, 2026 11:26Mtafiti mwandamizi wa Kituo cha Utafiti wa Asia Magharibi katika Taasisi ya Uchumi wa Dunia na Mahusiano ya Kimataifa ya Primakov ya Russia anaamini kuwa: Moja ya vipengele muhimu zaidi katika urithi wa kimkakati wa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kuanzishwa kwa mfumo wa kisiasa unaoweza kustahimili shinikizo la nje.
-
Spika Qalibaf amwambia Trump ashughulie lishe duni ya Wamarekani milioni 40
Jul 04, 2026 10:56Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu bwabwaja za Rais Donald Trump dhidi ya wananchi wa Iran kwa kusisitiza kuwa, shughulikia utapiamlo wa watu milioni 40 nchini Marekani, na usihamishie matatizo yako kwa wengine.
-
Rais wa Burundi awaalika viongozi wa upinzani kwa mashauriano ya mgogoro wa DRC
Jul 04, 2026 10:49Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Kiduru wa Umoja wa Afrika amewaalika wapinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mazungumzo yanayolenga kujadili mgogoro wa DRC.
-
Qalibaf ageuza diplomasia ya mazishi kuwa jukwaa la shughuli za kikanda
Jul 04, 2026 09:55Marasimu ya mazishi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatollah Seyyed Ali Khamenei, yamekuwa zaidi ya shughuli ya maombolezo ya kitaifa. Mazishi haya yameipa Iran fursa kubwa ya kidiplomasia, huku viongozi wakuu na jumbe za ngazi za juu kutoka kote Asia na Mashariki ya Kati wakikusanyika mjini Tehran kwa ajili ya kujadili masuala ya usalama wa kikanda, diplomasia ya baada ya vita na ushirikiano wa kimkakati.
-
Viongozi wa dunia wafika Tehran kutoa heshima kwa Kiongozi Shahidi
Jul 04, 2026 04:28Viongozi waandamizi wa Iran, marais na wakuu wa nchi, pamoja na wageni mashuhuri na wajumbe wa ngazi za juu kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamefika Tehran kutoa heshima zao kwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
-
Marekani ilitekeleza kampeni ya kuzuia mataifa kuhudhuria mazishi ya Shahidi Ayatullah Khamenei
Jul 04, 2026 04:23Wakati huohuo, imebainika kuwa maafisa wakuu wa Marekani waliendesha kampeni kali katika siku tano zilizopita, wakijaribu kuyazuia mataifa kushiriki katika hafla za mazishi ya Ayatullah Khamenei.