-
SAUTI, Makundi ya wabeba silaha nchini CAR yatishia kuisusa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo na kushika tena silaha
Apr 27, 2020 11:58Makundi ya wabeba silaha nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati yametishia kujiondoa katika serikali ya umoja wa kitaifa iliyoundwa yapata mwaka mmoja uliopita.
-
Jeshi la IRGC larusha satalaiti ya kwanza ya kijeshi ya Iran katika anga za mbali + Video
Apr 22, 2020 03:40Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limerusha kwa mafanikio satalaiti ya kwanza ya kijeshi ya Iran katika anga za mbali.
-
SAUTI, Wanachama wa Uprona nchini Burundi wamkataa mgombea wao, wasema bora wamchague mgombea wa chama tawala
Apr 20, 2020 12:03Huku ukiwa umesalia muda wa wiki moja kabla ya kuzinduliwa kampeni ya uchaguzi wa urais nchini Burundi, yameibuka malumbano ndani ya chama cha Uprona kilichowahi kuiongoza nchi hiyo tangu mwaka 1962 hadi 1993.
-
SAUTI, Hadi sasa serikali ya Rwanda bado haijasajili kifo wala kuwa na mgonjwa aliyelazwa ICU kwa virusi vya Corona
Apr 20, 2020 11:55Serikali ya Rwanda imesema inatathmini uwezekano wa kulifanya suala la kuvaa barakoa kuwa la lazima kwa raia wa nchi hiyo ikiwa ni jitihada mpya za kupambana na virus hatari vya Corona.
-
SAUTI, Huku Mkoa wa Kivu Kusini DRC ukiendesha vita dhidi ya virusi vya Corona, wakumbwa na maafa makubwa yanayosababishwa na mvua kali
Apr 20, 2020 11:54Uongozi wa mkoa wa Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umeendelea kuopoa maiti kutoka katika vifusi vya majengo na ndani ya maji ya mito ya mkoa huo, kufuatia mvua kali zilizonyesha siku ya Ijumaa na Jumamosi zilizopita.
-
Kwa mara ya kwanza duniani, Iran yavumbua kifaa cha kugundua kilipo kirusi cha corona katika masafa ya mita 100 + Video
Apr 15, 2020 20:13Kwa mara ya kwanza duniani, Jamhuri ya Kislamu ya Iran imevumbua kifaa chenye uwezo wa kugundua mwili na sehemu kilipo kirusi cha corona katika umbali wa mita 100 tena katika kipindi cha sekunde chache tu. Kifaa hicho kimepewa jina la "Musta'an 110."
-
Msalaba Mwekundu yaomba msaada wa kupambana na corona CAR + Sauti
Apr 15, 2020 13:25Shirika la Msalaba Mwekundu Jamhuri ya Afrika ya Kati limeyaomba mataifa ya dunia yalisaidie shirika hilo kupambana na maambukizi ya corona nchini humo. Mossi Mwasi na maelezo zaidi…
-
Licha ya kupita miaka 26 ya mauaji ya kimbari Rwanda, bado athari zake zingalipo + Sauti
Apr 09, 2020 08:43Wakati Rwanda ikiendelea kuomboloza mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya Watutsi ya mwaka 1994, bado kuna walionusurika na mauaji ambao wanaendelea kuishi na msongo wa mawazo kutokana na athari za mauaji hayo. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaongeza zuio la siku 15 zaidi la kutotoka nje ili kukabiliana na virusi vya Corona
Apr 02, 2020 12:52Serikali ya Rwanda imeongeza siku za zuio la raia wake kutotoka majumbani kwao kwa muda wa siku 15 zaidi.
-
SAUTI, Wachina sita waliokuwa wamewekwa karantini nchini Uganda wanaswa wakijaribu kutoroka
Mar 23, 2020 12:07Watu sita wenye uraia wa China wametiwa mbano nchini Uganda, wakati wakijaribu kutoroka kutoka nchi hiyo mwakachana wa Jumuisha ya Afrika Mashariki.