-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaongeza zuio la siku 15 zaidi la kutotoka nje ili kukabiliana na virusi vya Corona
Apr 02, 2020 12:52Serikali ya Rwanda imeongeza siku za zuio la raia wake kutotoka majumbani kwao kwa muda wa siku 15 zaidi.
-
SAUTI, Wachina sita waliokuwa wamewekwa karantini nchini Uganda wanaswa wakijaribu kutoroka
Mar 23, 2020 12:07Watu sita wenye uraia wa China wametiwa mbano nchini Uganda, wakati wakijaribu kutoroka kutoka nchi hiyo mwakachana wa Jumuisha ya Afrika Mashariki.
-
SAUTI, International Crisis Group: Kuwazuia wapinzani kufanya mikutano CAR, ni njama za serikali za kuchakachua uchaguzi wa rais
Mar 23, 2020 11:56Shirika la Kimataifa la International Crisis Group limechapisha taarifa inayohusu hali ya kisiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yapiga marufuku safari zote za ndege kuanzie kesho Ijumaa, kuzuia maambukizi ya Corona
Mar 19, 2020 13:11Serikali ya Rwanda imepiga marufuku ya siku 30 kwa safari zote za ndege zinazoingia au kutoka nchini humo katika juhuzi za kukabiliana na virusi vya Corona.
-
SAUTI, Serikali ya Tanzania yafunga shule zote kuanzia za msingi na secondari kuzuia maambukizi ya virusi hatari vya Corona
Mar 17, 2020 13:47Serikali ya Tanzania imesema shule zote za awali, msingi na sekondari zitafungwa kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona (CODIV-19) ndani ya nchi hiyo.
-
SAUTI: Wapiganaji magaidi kutoka Kongo DR waliovamia kambi ya jeshi la Uganda, UPDF na kutenda jinai, watiwa mbaroni 25 kati yao
Mar 09, 2020 12:56Wapiganaji 25 kutoka kundi linalotambuliwa na serikali ya Uganda kuwa la kigaidi wametiwa mbaroni na jeshi la nchi hiyo UPDF karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongoa.
-
Askari wa Uturuki wakimbia kwa makundi katika viunga vya Idlib, Syria + Video
Mar 04, 2020 09:54Kufuatia mashambulizi makali ya anga na mizinga ya jeshi la Syria dhidi ya maeneo ya jeshi la Uturuki katika viunga vya mkoa wa Idlib, askari wa Uturuki wameonekana wakikimbia kwa makundi katika maeneo hayo.
-
SAUTI, Nzige wavamia mkoa wa Ituri Kongo DR, wakazi wake washikwa na butwaa kwa uharibifu
Feb 27, 2020 12:18Wakazi wa mkoa wa Ituri, kaskazini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamepatwa na hali ya wasi wasi mkubwa kufuatia kuvamiwa na kundi kubwa la nzige ambao wanaonekana kushambulia kila mmea wa eneo hilo.
-
SAUTI, Wapinzani nchini Uganda walikosoa jeshi la polisi kwa kufanya upendeleo na zuia mikutano yao
Feb 24, 2020 12:49Wapinzani nchini Uganda wanalilalamikia jeshi la polisi nchini humo kwa hatua yake ya kuwazuia kufanya mikutano yao ya kisiasa.
-
SAUTI, Tume ya Kuandaa Uchaguzi nchini Burundi CENI yafungua milango kupokea fomu za wagombe
Feb 24, 2020 11:19Tume ya Kuandaa Uchaguzi nchini Burundi CENI imetangaza utaratibu unaotakiwa kufuatwa na wagombea uchaguzi katika nafasi tofauti.