-
SAUTI, Tume ya Haki za Binaadamu Burundi yakosoa vikali hatua ya kushushwa hadhi yake na Umoja wa Mataifa
Mar 06, 2018 12:27Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadam nchini Burundi (CNIDH) imeshushwa hadhi na Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa kwa kile kilichotajwa kuwa imeshindwa kushirikiana vilivyo na baraza hilo.
-
Sura mpya katika jeshi la polisi nchini Uganda + Sauti
Mar 06, 2018 03:48Mwangwi wa hatua ya Rais Yoweri Kaguda Museveni wa Uganda ya kumtimua Inspekta Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo Jenerali Kale Kayehura na maafisa wengine kadhaa wa masuala ya usalama umeendelea kuhisika huku wananchi wakitoa maoni mbalimbali kuhusu hatua hiyo.
-
Wanaharakati waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha Zanzibar warejea makwao + Sauti
Mar 04, 2018 14:38Wanaharakati wanne wa Kiislamu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha tokea tarehe 9 ya mwezi uliopita wa Februaria huko visiwani Zanzibar leo wamerejea katika familia zao baada ya kuwekwa kizuizini na watu wasiojulikana. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit ametutumia ripoti maalumu kuhusu suala hilo…
-
Watanzania watakiwa kuwa watulivu katika kipindi hiki cha wimbi la lawama + Sauti
Mar 04, 2018 14:31Watanzania wametakiwa kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho serikali ya nchi hiyo inatupiwa lawama na wanaharakati wa haki za kiraia, vyama vya upinzani, wananchi na vyombo vya habari kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu na uminywaji wa haki na demokrasia.
-
Waislamu Tanzania waja juu baada ya kutishiwa kuvunjwa msikiti wao + Video
Mar 04, 2018 13:38Waislamu mkoani Rukwa Tanzania wamemlalamikia vikali mkuu wa mkoa huo kwa kufanya njama za kutaka kuvunja msikiti ambao umekuwa unaendelea na ujenzi kwa muda wa miaka mingi.
-
Mbunge "tapeli" arejeshwa Uganda baada ya kukamatwa akifanya utapeli Botswana + Sauti
Mar 03, 2018 14:30Nchini Uganda, mbunge wa zamani wa eneo la Bubulo Magharibi, Tony Nsubuga Kipoi aliyekuwa mafichoni nje ya nchi, amerejeshwa Uganda baada ya kukamatwa nchini Botswana kwa tuhuma za utapeli
-
SAUTI, Kamati ya maadili Zanzibar yaitaka serikali kuzifunga baa zilizo karibu na makazi ya watu na misikiti ili kunusuru jamii
Mar 02, 2018 13:46Kamati ya maadili ya Kiislamu visiwani Zanzibar imeitaka serikali kuchukua hatua kali dhidi ya watu wanaojenga baa za ufuska na ulevi karibu na makazi ya wananchi na misikini.
-
SAUTI, Shambulizi la magaidi wa ash-Shabab lililopelekea mauaji ya askari 5 wa Kenya asubuhi ya Ijumaa hii
Mar 02, 2018 13:45Askari polisi watano wa Kenya wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kushambulia kambi mbili za maafisa usalama katika mji wa Fino katika kaunti ya Mandera.
-
Katibu Mkuu wa CUF avunja ukimya kuhusu upekuzi wa polisi Makao Makuu Mtendeni Zanzibar + Sauti
Mar 01, 2018 13:26Katibu Mkuu Taifa wa chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa matukio ya hivi karibuni ya jeshi la polisi ya kupekua makao makuu ya chama hicho huko Mtendeni mjini Unguja na ziara ya kisiwani Pemba ya yule anayejiita Mwenyekiti wa chama hicho, yalikuwa na lengo la kusababisha vurugu. Taarifa kamili anatuletea mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Harith Subeit.
-
Jaji Mkuu wa Kenya awaomba radhi wananchi + Sauti
Mar 01, 2018 13:13Jaji wa Mahakama Kuu ya Kenya David Kenani Maraga, amewaomba radhi Wakenya kwa niaba ya idara hiyo kufuatia kuendelea kuzuiliwa baadhi ya washukiwa wa uhalifu walio na akili punguani katika magereza ya nchi hiyo.