Jaji Mkuu wa Kenya awaomba radhi wananchi + Sauti
Mar 01, 2018 13:13 UTC
Jaji wa Mahakama Kuu ya Kenya David Kenani Maraga, amewaomba radhi Wakenya kwa niaba ya idara hiyo kufuatia kuendelea kuzuiliwa baadhi ya washukiwa wa uhalifu walio na akili punguani katika magereza ya nchi hiyo.
Jaji Maraga ametoa kauli hiyo huku mashirika ya kutetea haki za binadamu yakituhumiwa kuwageuza wafungwa kuwa kitega uchumi chao bila ya kuzitetea haki zao za msingi wakiwa magerezani.
Mwandishi wa Radio Tehran wa mjini Mombasa Kenya ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo
Tags