Mbunge "tapeli" arejeshwa Uganda baada ya kukamatwa akifanya utapeli Botswana + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i41133-mbunge_tapeli_arejeshwa_uganda_baada_ya_kukamatwa_akifanya_utapeli_botswana_sauti
Nchini Uganda, mbunge wa zamani wa eneo la Bubulo Magharibi, Tony Nsubuga Kipoi aliyekuwa mafichoni nje ya nchi, amerejeshwa Uganda baada ya kukamatwa nchini Botswana kwa tuhuma za utapeli
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Mar 03, 2018 14:30 UTC

Nchini Uganda, mbunge wa zamani wa eneo la Bubulo Magharibi, Tony Nsubuga Kipoi aliyekuwa mafichoni nje ya nchi, amerejeshwa Uganda baada ya kukamatwa nchini Botswana kwa tuhuma za utapeli