Wanaharakati waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha Zanzibar warejea makwao + Sauti
Mar 04, 2018 14:38 UTC
Wanaharakati wanne wa Kiislamu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha tokea tarehe 9 ya mwezi uliopita wa Februaria huko visiwani Zanzibar leo wamerejea katika familia zao baada ya kuwekwa kizuizini na watu wasiojulikana. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit ametutumia ripoti maalumu kuhusu suala hilo…
Tags