-
SAUTI: Maalim Seif azungumzia miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
May 02, 2017 12:13CUF yakosoa Muungano wa Tanzania
-
SAUTI: Rais Kenyata wa Kenya, nitaongezea asilimia 18 ya mshahara, pia Wakenya wasiende nchi za Kiarabu kufanya kazi za ndani
May 01, 2017 12:26Kwa mara ya kwanza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amehudhuria sherehe za wafanyakazi nchini humo Mei Mosi zilizoadhimishwa duniani kote hii leo.
-
SAUTI, Muungano wa upinzani nchini Kenya, wategua kitendawili kwa kumtangaza rasmi mgombea wao kwenye uchaguzi ujao
Apr 27, 2017 12:29Muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA umemtangaza rasmi aliyekuwa makamu wa rais wa wa nchi hiyo Raila Odinga, kupeperusha bendera ya upinzani katika uchaguzi ujao.
-
SAUTI, Serikali ya Burundi yapiga marufuku misaada ya Shirika la WFP kuingia nchini humo kupitia Rwanda
Apr 27, 2017 12:25Hatua ya serikali ya Burundi ya kupiga marufuku kuingia nchini humo shehena ya misaada yakibinaadamu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakuka Duniani (WFP), kupitia mpta wa nchi jirani ya Rwanda, imelalamikiwa na viongozi wa shirika hilo.
-
SAUTI: Vijana Rwanda watakiwa kujihadhari na ukoloni mamboleo
Apr 16, 2017 03:12Serikali ya Rwanda imewataka raia wake hasa vijana kutambua hila na njama za ukoloni mamboleo unaofanywa na nchi za kigeni hasa zile za Magharibi. Kwa upande wa vijana wakati huu ni ule wa kuzipenda nchi zao za Kiafrika na kuepuka kufikiria nchi zilizoendelea. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaendelea kuinyoshea Ufaransa kidole cha lawama kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari mwaka 1994, manusura wasimulia
Apr 13, 2017 12:47Manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 huko wilaya ya Karongi magharibi mwa nchi hiyo, wameyalaani majeshi ya Ufaransa kwa kuhusika kwao kwa kiwango cha juu kwenye mauaji hayo.
-
SAUTI, mateso ya Wakenya ughaibuni yaifanya idara ya uhamiaji Kenya kupunguza mawakala wanaowafirisha raia wa nchi hiyo kwenda nchi za Kiarabu
Apr 13, 2017 12:31Idara ya uhamiaji nchini Kenya imepunguza mawakala wanaojihusisha na kusafirisha raia wa Kenya kwenda kufanya kazi katika mataifa ya Mashariki ya Kati kutoka 500 hadi 23 katika kile ilichokieleza kuwa ni kuleta uwajibikaji katika shughuli hizo.
-
SAUTI: Radio Tehran yahojiana na wakimbizi wa Rwanda mjini Brazzaville
Apr 11, 2017 02:38Wakimbizi kutoka Rwanda wanaoishi nchini Kongo Brazzaville wamefanya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari yaliyojiri nchini mwao mwaka 1994. Mwandishi wa Radio Tehran aliyeko mjini Brazzaville amefanya mahojiano maalumu na mwakilishi wa wakimbizi hao...
-
SAUTI: Makumi ya shule zina hatari ya kufungwa Burundi
Apr 11, 2017 02:27Wizara ya Elimu nchini Burundi imetoa tahadhari ya kuzifunga shule 40 nchini humo kutokana na kupata alama ya chini ya asiimia 20 katika mitihani ya kuingia sekondari. Mwandishi wa Radio Tehran na ripoti kamili kutoka Bujumbura...
-
SAUTI, Viongozi wa serikali ya awamu ya Tano Tanzania watakiwa kuweka kando tofauti zao ili kuliletea taifa maendeleo
Apr 10, 2017 00:15Viongozi wa serikali nchini Tanzania wametakiwa kuelewa umuhimu wa kuzingatia dhana ya uongozi bora ambayo ndio msingi wa maendeleo ili kufanikiwa kikamilifu katika mipango ya serikali kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati.