SAUTI: Makumi ya shule zina hatari ya kufungwa Burundi
Apr 11, 2017 02:27 UTC
Wizara ya Elimu nchini Burundi imetoa tahadhari ya kuzifunga shule 40 nchini humo kutokana na kupata alama ya chini ya asiimia 20 katika mitihani ya kuingia sekondari. Mwandishi wa Radio Tehran na ripoti kamili kutoka Bujumbura...
Tags