-
SAUTI: Vutanikuvute ndani ya chama cha CUF Tanzania zaendelea huku Profesa Lipumba akipigwa kalamu nyekundu
Sep 27, 2016 13:34Katika kikao kilichoitishwa na kamati ya utendaji ya chama cha CUF, kulijadiliwa masuala mbalimbali ikiwemo uamuzi dhidi ya Profesa Lipumba.
-
VIDEO: Jeshi la Iran laonyesha magari yake ya kisasa ya kushambulia vitani bila dereva
Sep 27, 2016 08:15Robot wa Iran wenye uwezo wa kushambulia vitani bila ya kuwa na dereva, ni sehemu ya maonyesho ya Siku ya Jeshi nchni Iran.
-
VIDEO: Kama huna mbavu usiangalie kichekesho hiki cha mwaka
Sep 27, 2016 07:21Kama inasemwa, raha ya kabumbu ni namna mtu unavyoweza kutabiri nini kitatokea sekunde chache ijayo. Sehemu unayotarajia goli litafungwa halifungwi na pale usipotarajia kabisa kuwa gali halifungwi ndipo linapofungwa. Huu ni mfano wa wazi wa kituko hicho cha mwaka katika kabumbu. Utumbo huu wa mwaka umefanywa na golikipa wa timu ya vijana ya Korea Kaskazini katika mashindano ya Asia.
-
VIDEO: Mahojiano ya Radio Tehran na Spika wa Bunge la Kenya
Sep 25, 2016 11:01Spika wa Bunge la Kenya, Mheshimiwa Justin Muturi yupo hapa mjini Tehran kwa ziara rasmi ya kikazi nchini Iran.
-
SAUTI: Wakenya wasiokuwa na vitambulisho vya uraia waitisha maandamano makubwa Kenya
Sep 24, 2016 13:52Hatma ya kusajiliwa kwa jamii zisizokuwa na uraia wa taifa la Kenya bado haijafahamika kutokana na kukamilika kwa muda wa usajili wa jamii hizo.
-
SAUTI: Mahojiano maalumu juu ya mazungumzo ya Maspika wa mabunge ya Iran na Kenya
Sep 24, 2016 13:45Maspika wa mabunge ya Iran na Kenya wamesisitzia udharura wa kuimarishwa zaidi uhusiano wa nchi hizo mbili katika pande zote.
-
SAUTI: Wanachama wa kundi la kitakfiri la ash-Shabab wavamia bohari la silaha la kambi ya polisi
Sep 22, 2016 13:43Katika hujuma hiyo wanachama hao wa kigaidi wanadaiwa kutoweka na kiasi kisichojulikana cha risasi na bunduki, sanjari na kumjeruhi vibaya polisi mmoja.
-
Video: Kama hata wanyama wanasaidiana, mwanadamu anashindwaje kumsaidia mwenzake?
Sep 21, 2016 06:07Kama unadhani huruma iko kwa viumbe wenye akili tu, umekosea. Viumbe wengine nao wana nadhari, na baadhi ya wakati msaada wao ni bora zaidi kulikoni hata wa wanadamu wanaoambatanisha misaada yao na masimbulizi. Cha kuvutia kwenye kipande hiki cha video ni namna nguchiro wawili, mama na mwana walivyosaidiana kumuokoa mwenzao.
-
Video: Ajali haina kinga, lililoandikwa lazima litatokea
Sep 21, 2016 06:03Licha dereva wa gari hii kuchukua tahadhari kubwa, lakini jitihada haiondoi kudura. Ajali hii ilishaandikwa kutokea hata kama ni kwa uzembe wa dereva wa pikipiki kama kinavyoonesha kipande hiki cha video.
-
VIDEO. Sheikh Hemedi Jalala: TCRA na polisi Tanzania wamnase kijana aliyeivunjia heshima dini ya Kiislamu
Sep 17, 2016 00:53Sheikh Hemedi Jalala, mmoja wa viongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania na Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Imam Swadiq (as) jijini Dar es Salaam, ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo (TCRA) kwa kushirikiana na maafisa usalama, kumtia mbaroni kijana JEREMIA EDWARD.