-
Radiamali ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tehran kwa mashambulio ya Israel dhidi ya nyumba za Walebanon
Nov 19, 2024 06:33Pars Today- Mhadhiri mmoja wa Kiirani ameashiria mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Gaza na Lebanon na kusema kuwa, vyombo vya habari vya Magharibi ni washirika wa mauaji haya ya kimbari.
-
Gazeti maarufu la Guardian lajiondoa kwenye X kulalamikia hisia hasi na mielekeo ya ubaguzi
Nov 14, 2024 05:58Gazeti la The Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limetangaza kuwa litaacha kuweka maandiko yake kwenye X, mtandao wa kijamii uliokuwa ukijulikana kama Twitter.
-
Kwa mashinikizo ya Israel, X ilisimamisha akaunti ya Kiongozi Muadhamu na kuifungua baada ya malalamiko ya watumiaji
Oct 30, 2024 07:14Parstoday- Baada ya kupita saa 24 za kuisimamisha akaunti ya Ayatullah Ali Khamenei katika mtandao wa kijamii wa X, ambao zamani ulijulikana kama Twitter, imefungua akaunti hiyo ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
-
"Alidhihiri katika kipindi sahihi cha historia" shahid Nasrullah kwa mtazamo wa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X
Oct 28, 2024 09:10Parstoday: Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma ujumbe mbalimbali kwenye mtandao huo kumsifu shahid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon.
-
"Njia ya kukomesha jinai, ni kwa Wazayuni kutawaliwa na khofu"; maoni ya mitandaoni ya Wairan kuhusu jinai za Israel
Oct 28, 2024 09:09Pars Today-Watumiaji wa mtandao wa kijamii X wametuma jumbe mbalimbali kwenye mitandao ya intaneti kulaani jinai zinazofanywa utawala wa Kizayuni nchini Lebanon. Kufuatia jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni nchini Lebanon, tumeamua kutupia jicho hisia zilizoonyeshwa na mijibizo iliyotolewa na watumiaji wa mtandao wa X dhidi ya unyama na uhayawani wa utawala khabithi wa Kizayuni.
-
Mbunge wa Bunge la Ulaya: Marekani na waitifaki wake wanaendesha vita Ukraine kwa ajili ya viwanda vyao vya kijeshi
Oct 28, 2024 08:56Pars Today: Mbunge wa Ireland katika Bunge la Ulaya amesema kuwa, madola ya Ulaya na Marekani wamelipa uhai mpya shirika la kigaidi liitwalo NATO kupitia vita vya Ukraine.
-
Kukosolewa baadhi ya watetezi wa haki za binadamu kwa kupuuza haki za Wapalestina
Oct 28, 2024 08:40Mwanadiplomasia wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelalamikia kimya cha wanaharakati wa haki za binadamu kuhusu wananchi wa Palestina.
-
NATO ni wenzo wa uhalifu wa Wamagharibi/angalia tweets za watumiaji wa X
Aug 06, 2024 11:13Pars Today- Uhalifu wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) haufichiki kwa mtu yeyote. Ni kwa sababu hiyo ndio maana Alfred Dozias, mtaalamu wa zamani wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa, analichukulia shirika hilo kuwa ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa binadamu duniani.
-
Mauaji na uharibifu; matokeo ya Libya kuamini na kulegeza msimamo mbele ya nchi za Magharibi/ tweet za watumiaji wa X
Jul 17, 2024 12:18Libya imekumbwa na ghasia na machafuko ya kisiasa tangu mapinduzi ya mwaka 2011 ya watu wa nchi hiyo, ambayo yalipelekea kupinduliwa serikali ya Muammar Gaddafi, kwa uingiliaji kati wa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya.
-
Shauku ya uchaguzi nchini Iran/ Tweeti za watumiaji mitandao wa Iran kuhusu uchaguzi wa rais
Jul 17, 2024 11:46Pars Today- Wakati huo huo siku ya uchaguzi wa rais nchini Iran inakaribia, watumiaji wa Iran wa mtandao wa kijamii wa X, kama watu wengine wa Iran, wanafuatilia uchaguzi huu kwa msisimuko na shauku maalum.