-
Taliban yaadhimisha mwaka wa pili wa kurudi madarakani Afghanistan huku ikiandamwa na lawama za UN
Aug 16, 2023 02:48Kundi la Taliban la Afghanistan limeadhimisha mwaka wa pili wa kurejea madarakani kwa kuutangaza mnasaba huo kuwa siku rasmi ya mapumziko ikiwa ni kusherehekea kutekwa kwa mji mkuu Kabul na kuanzishwa kile kilichotajwa kuwa ni hali kamili ya usalama kote nchini chini ya uongozi wa "Mfumo wa Kiislamu".
-
Wasiwasi wa Baraza la Usalama kwa hali ya kibinadamu nchini Afghanistan
Aug 08, 2023 02:08Akthari ya washiriki katika mkutano wa hivi karibuni wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa chini ya kichwa "Ukosefu wa Usalama wa Chakula Duniani" walionyesha wasiwasi walionao kwa hali ya kibinadamu nchini Afghanistan.
-
Woga wa Marekani wa kukumbwa huko Ukraine na yale yale yaliyoikumba Washington nchini Afghanistan
Jul 31, 2023 02:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeonya kuhusu athari mbaya za ufisadi wa kiserikali nchini Ukraine kutokana na misaada isiyo na mahesabu ya kiuchumi inayomiminiwa nchi hiyo ya Ulaya Mashariki.
-
Taliban: Hatuhitaji kufanya mazungumzo wala kuwa na ushirikiano wowote na Marekani
Jul 23, 2023 02:17Waziri wa Ulinzi wa serikali ya Taliban amekanusha madai ya kuwepo mtandao wa Al-Qaeda nchini Afghanistan na kusema, "sisi hatuhitaji kufanya mazungumzo yoyote au kuwa na ushirikiano wowote na Marekani.
-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya viongozi kadhaa wa Taliban
Jul 23, 2023 02:17Baraza la Ulaya tarehe 20 mwezi huu wa Julai lilitangaza kuwawekea vikwazo Abdul Hakim Haqani Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya Afghanistan, Abdul Hakim Sharei Waziri wa Sheria na Moulavi Habibullah Agha Kaimu Waziri wa Elimu katika serikali ya mpito ya Afghanistan kwa kuhusika katika kuwanyima wasichana na wanawake wa Afghanistan haki yao ya kupata elimu, kupata haki ya kisheria, na haki sawa na wanaume wa nchi hiyo.
-
Mwito wa Russia wa uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Jun 21, 2023 02:41Ujumbe wa Russia umetoa mwito wa kuendelea kukusanywa taarifa na uchunguzi kuhusu jinai zilizofanywa na Marekani nchini Afghanistan. Mwito huo umetolewa katika kikao cha 53 cha Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa,
-
Iran yalaani shambulizi la bomu lililoua, kujeruhi makumi msikitini Afghanistan
Jun 09, 2023 01:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana huko Afghanistan na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia kuwa Marekani inaunga mkono magaidi wa Daesh na Al Qaeda
Jun 07, 2023 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema Marekani inaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Afghanistan kwa lengo la kuliyumbisha eneo.
-
Kuongezeka idadi ya wahitaji wa misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan
Jun 06, 2023 12:10Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetangaza katika taarifa yake kwamba, tathmini mpya inaonyesha kuwa, idadi ya watu wanaohitajia misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan imeongezeka.
-
Mamia ya athari za kale za Afghanistan zilizoibiwa wakati wa uvamizi wa Marekani zarejshwa nchini + Video
May 29, 2023 01:31Mamia ya vipande vya athari za kale zilizoibiwa wakati wa uvamizi na vita vilivyoanzishwa na wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan vimerejeshwa kwenye jumba la makumbusho la nchi hiyo.