Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Huduma ya Iran kwa wakimbizi; kigezo bora cha kuigwa duniani

    Huduma ya Iran kwa wakimbizi; kigezo bora cha kuigwa duniani

    Apr 12, 2019 20:47

    Mkuu wa Ofisi ya Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa UNHCR akiwa safarini katika mji wa Mashhad nchini Iran amesema: "Sera za Iran za kuwahudumia wakimbizi na kuhakikisha kuwa hawana matatizo ya kimaisha na wanapata huduma za afya na elimu ni mfano wa kuigwa duniani kote"

  • Askari watano wa Marekani wauawa, saba wajeruhiwa nchini Afghanistan

    Askari watano wa Marekani wauawa, saba wajeruhiwa nchini Afghanistan

    Mar 23, 2019 03:32

    Msemaji wa kundi la Taliban, Dhabihullah Mujahid amesema kundi hilo limewaangamiza askari watano wa Marekani nchini Afghanistan.

  • Dakta Zarif: Daima Iran imekuwa ikifuatilia suala la kuisaidia Afghanistan

    Dakta Zarif: Daima Iran imekuwa ikifuatilia suala la kuisaidia Afghanistan

    Mar 17, 2019 02:23

    Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, daima Iran imekuwa ikifuatilia suala la kuisaidia serikali na wananchi wa Afghanistan.

  • Mafuriko yaua watu 45 Afghanistan na Pakistan

    Mafuriko yaua watu 45 Afghanistan na Pakistan

    Mar 05, 2019 23:16

    Kwa akali watu 45 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afghanistan na Pakistan.

  • Mkuu wa Baraza Kuu la Amani: Afghanistan katu haitarudi kwenye enzi za utawala wa Taliban

    Mkuu wa Baraza Kuu la Amani: Afghanistan katu haitarudi kwenye enzi za utawala wa Taliban

    Mar 02, 2019 22:57

    Mkuu wa Baraza Kuu la Amani la Afghanistan ametangaza kuwa, nchi hiyo katu haitarudi tena nyuma kwenye enzi za utawala wa Taliban.

  • Raia 20 wa Afghanistan wauawa katika shambulio la askari wa Marekani katika jimbo la Helmand

    Raia 20 wa Afghanistan wauawa katika shambulio la askari wa Marekani katika jimbo la Helmand

    Feb 12, 2019 00:57

    Watu 20 wameuliwa katika shambulio lililofanywa wakati wa usiku na askari wa Marekani katika jimbo la Helmand kusini mwa Afghanistan.

  • Mkutano wa Moscow; mwanzo wa mazungumzo jumuishi baina ya Waafghani

    Mkutano wa Moscow; mwanzo wa mazungumzo jumuishi baina ya Waafghani

    Feb 06, 2019 04:36

    Hamid Karzai, Rais wa zamani wa Afghanistan na viongozi wa baadhi ya vyama vya nchi hiyo wanakutana na kundi la wanamgambo wa Taliban huko Moscow, mji mkuu wa Russia, ikiwa ni hatua moja mbele katika fremu ya kuanza mazungumzo jumuishi baina ya Waafghani.

  • Maveterani wa UK: Tuliamrishwa tuwaue kwa kuwapiga risasi raia Iraq, Afghanistan

    Maveterani wa UK: Tuliamrishwa tuwaue kwa kuwapiga risasi raia Iraq, Afghanistan

    Feb 05, 2019 23:13

    Jeshi la Uingereza liliwaagiza askari wake wawaue kwa kuwafyatulia risasi raia wa Iraq na Afghanistan hata kama hawakuwa wamejizatiti kwa silaha.

  • Iran: Marekani inawahamishia magaidi wa DAESH (ISIS) Afghanistan

    Iran: Marekani inawahamishia magaidi wa DAESH (ISIS) Afghanistan

    Feb 05, 2019 12:29

    Msaidizi na Mshauri Mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ina taarifa za uhakika kuhusu hatua inazochukua Marekani za kuwahamishia magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) nchini Afghanistan.

  • Imam wa Swala ya Ijumaa Kabul akosoa vikali mkataba wa Usalama kati ya Afghanistan na Marekani

    Imam wa Swala ya Ijumaa Kabul akosoa vikali mkataba wa Usalama kati ya Afghanistan na Marekani

    Feb 02, 2019 04:16

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Kabul, mji mkuu wa Afghanistan amekosoa vikali mkataba wa usalama uliowekwa kati ya Marekani na serikali ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS