-
Maulama wa Kisuni Afghanistan: Nchi za Kiarabu zimeonyesha udhalili mkubwa kwa Trump
May 24, 2017 23:36Chama cha Mwamko wa Kiislamu nchini Afghanistan kimetoa radiamali yake kali juu ya ukimya wa nchi za Kiarabu katika hotuba ya jeuri ya Rais Donald Trump wa Marekani katika kikao cha hivi karibuni mjini Riyadh, Saudi Arabia.
-
Kupenya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mashariki mwa Afghanistan
May 24, 2017 03:01Mjumbe mmoja wa Bunge la Afghanistan amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linaendelesha harakati zake mashariki mwa nchi hiyo kupitia uungaji mkono wa Marekani.
-
Mikono ya Trump imetapakaa damu za Waislamu
May 22, 2017 22:49Qari Abdul Rahman Navarzi, mmoja wa maulama wakubwa wa Kisuni nchini Pakistan, amekosoa vikali kitendo kiovu cha utawala wa Aal-Saud cha kumwalika Rais Donald Trump wa Marekani ambaye mikono yake imetapakaa damu za Waislamu kwenda ardhi ilipo nyumba ya Mwenyezi Mungu.
-
Afghanistan: Saudia na Qatar, ndio wafadhili wakuu wa genge la Daesh nchini mwetu
May 22, 2017 11:18Mjumbe wa Bunge la Afghanistan amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linaendelesha harakati zake kaskazini mwa nchi hiyo kupitia uungaji mkono wa kifedha wa Saudia na Qatar.
-
Afghanistan yatajwa kuwa nchi ya nne kuathiriwa na vita duniani
May 09, 2017 23:29Kituo cha kimataifa cha Uchunguzi wa Kistratijia, kimeitaja Afghanistani kuwa nchi ya nne kuathiriwa na vita duniani.
-
Waafghani: Iran ndio inafanya juhudi kubwa kurejesha amani nchini kwetu
May 08, 2017 23:49Licha ya Marekani na washirika wake katika eneo kueneza propaganda chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Afghanistan, wamekaribisha na kupongeza juhudi za taifa hili kwa ajili ya kudumisha usalama na amani nchini mwao na nafasi ya Tehran katika uwanja huo.
-
Dennis Etler: Al-Qaida na ISIS yanatumikia maslahi ya Marekani
May 08, 2017 10:33Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa nchini Marekani, amesema kuwa Washington haitaki kuyatokomeza makundi ya kigaidi ya Daesh (ISIS) na al-Qaida kwa kuwa, magenge hayo yanatumikia maslahi yanchi hiyo.
-
Rais Ghani wa Afghanistan amesema kiongozi wa ISIS nchini humo ameuawa
May 08, 2017 03:21Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini humo ameuawa katika mashambulizi ya pamoja ya jeshi la nchi hiyo na Marekani.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Kabul
May 03, 2017 03:17Watu 33 wameuawa na kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu ulioutikisa mji wa Kabul karibu na ubalozi wa Marekani nchini Afghanistan mapema leo.
-
Abdullah Abdullah: Daesh na Taleban ndio maadui hatari sana wa Afghanistan
Apr 29, 2017 10:52Mkuu wa Baraza la Utendaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan amesema kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na Taleban ndio maadui hatari zaidi kwa taifa hilo.