-
Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Majeshi Afghanistan wajiuzulu kufuatia shambulizi la Taliban
Apr 24, 2017 03:47Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Jeshi la Afghanistan wamejiuzulu kufuatia shambulizi la kigaidi la Taliban lililoua makumi wa wanajeshi wa nchi hiyo siku chache zilizopita.
-
Shamkhani: Baadhi ya nchi zinapanga kumimina magaidi Afghanistan
Apr 23, 2017 03:26Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, kuna baadhi ya nchi za eneo hili zinafanya njama za kuharibu hali ya amani na kudhoofisha muundo wa kiusalama wa Aghanistan kama njia ya kuandaa mazingira ya kuwahamishia nchini humo magaidi walioshindwa katika nchi za Iraq na Syria.
-
Taleban: Marekani imetumia silaha za kemikali katika mkoa wa Kunduz
Apr 22, 2017 23:52Msemaji wa Kundi la kigaidi la Taleban amesema kuwa, Marekani imetumia silaha za kemikali dhidi ya raia katika mkoa wa Kunduz, kaskazini mwa Afghanistan.
-
Chama tawala Kenya chafutilia mbali zoezi la mchujo baada ya kuibuka vurugu
Apr 21, 2017 23:40Chama tawala cha Jubilee nchini Kenya kimefutilia mbali zoezi la uteuzi wa nafasi za wagombea wake katika Kaunti zote baada ya kushuhudiwa vurugu na machafuko hapo jana.
-
Taliban waua makumi ya askari wa Afghanistan
Apr 21, 2017 23:13Zaidi ya askari 50 wa Afghanistan wameuawa katika shambulio lililofanywa na wapiganaji wa kundi la kitakfiri la Taliban dhidi ya kambi muhimu ya jeshi la nchi hiyo huko kaskazini mwa Afghanistan.
-
Karzai: Nitaiokoa Afghanistan mwenyewe kutokana na jinai za Marekani
Apr 15, 2017 09:18Rais wa zamani wa Afghanistan Hamid Karzai amesema kuwa atasimama yeye mwenyewe kukabiliana na Marekani ili kuiokoa nchi yake kutokana na jinai za Washington nchini humo.
-
Karzai aikosoa US kwa kudondosha "Mama wa Mabomu Yote" nchini Afghanistan
Apr 15, 2017 03:08Rais wa zamani wa Afghanistan Hamid Karzai ameikosoa vikali Marekani kwa kuitumia nchi yake kama sehemu ya kufanyia majaribio ya silaha zake.
-
Athari mbaya za utumiaji wa silaha mpya za Marekani huko Afghanistan
Apr 15, 2017 02:28Hatua ya Marekani na kutumia bomu kubwa zaidi lisilo la nyuklia huko Aghanistan imekabliwa na radiamali kali ya duru mblimbali nchini Afghanistn na katika eno hili kwa ujumla.
-
Marekani yapiga "Mama wa Mabomu Yote", Afghanistan
Apr 14, 2017 00:01Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imetangaza kwamba jeshi la nchi hiyo limepiga bomu kubwa zaidi lisilokuwa la nyuklia nchini Afghanistan.
-
Pakistan yavurumisha zaidi ya makombora 70 Afghanistan, Kabul yalalamika
Mar 31, 2017 02:19Viongozi wa serikali ya Afghanistan wamesema kuwa, zaidi ya makombora 70 yalirushwa jana usiku kutoka nchini Pakistan kuelekea maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo, na kuzusha wasiwasi mkubwa.