-
Maambukizi ya aina mpya ya spishi ya Omicron yachachamaa Afrika Kusini
Feb 05, 2022 01:08Afrika Kusini imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya aina mpya ya spishi ya kirusi cha Corona cha Omicron, iliyopewa jina la kitaalamu la BA.2.
-
Ujumbe wa ECOWAS wawasili Burkina Faso na kukutana wanajeshi wafanyamapinduzi
Jan 30, 2022 08:55Ujumbe wa wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Afrika Magharibi ECOWAS umewasili nchini Burkina Faso na kukutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa baraza la wanajeshi walioongoza mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo.
-
Amir Abdollahian asisitiza kustawisha uhusiano na nchi za Kiafrika
Jan 25, 2022 11:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza suala la kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika na kustawishwa ushirikiano wa pande zote katika sekta mbalimbali kwa maslahi ya pamoja na nchi ya Togo.
-
Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano wa Iran na nchi za Afrika utaimarishwa zaidi
Jan 24, 2022 10:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.
-
Afrika yalalamikia kupokea chanjo za corona zinazokaribia kupitwa na wakati
Jan 20, 2022 08:43Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika CDC kimesema kuna udharura wa kupelekwa barani humo chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 ambazo muda wake wa matumizi ni baina ya miezi mitatu hadi sita.
-
Nchi za Magharibi mwa Afrika zakata uhusiano wao na Mali
Jan 10, 2022 04:32Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharini mwa Afrika (ECOWAS) yenye wanachama 15 imechukua uamuzi wa kufunga mipaka ya nchi hizo na Mali na kukata uhusiano wa kidiplomasia na serikali ya Bamako.
-
CAF yaweka sheria za ajabu za corona katika fainali za AFCON 2021 huko Cameroon
Jan 10, 2022 02:47Shirikisho la kandanda barani Afrika CAF limetangaza sheria zilizowastaajabisha wengi za corona Katika mashindayo yaliyoanza jana ya Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Cameroon.
-
Maambukizi ya Corona Afrika yapindukia kesi milioni 10, WHO yatahadharisha kuhusu tsunami ya kutatanisha
Jan 07, 2022 23:20Bara la Afrika limevuka visa milioni 10 vilivyorekodiwa vya maambukizi ya Covid-19, huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likuonya juu ya tsunami kubwa na ya haraka ya maambukizo ya corona ambayo yanachanganya mifumo ya afya kote duniani.
-
Afrika CDC: Kuzifunga nchi hakuna manufaa katika kudhibiti Corona
Jan 07, 2022 00:03Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika CDC kimesema kuzifunga nchi na kuweka sheria za kutotoka nje si moja ya njia bora zaidi za kukabiliana na msambao wa virusi vya Corona.
-
Hatimaye Waziri Mkuu wa Sudan atangaza rasmi kujiuzulu
Jan 03, 2022 04:14Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.