-
Askari wa UN akiri kunajisi watoto wadogo Afrika
Jul 30, 2018 02:39Askari mmoja wa zamani wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekiri kwamba, aliwanajisi watoto na wanawake wa Kiafrika wakati alipokuwa akihudumia kikosi hicho mwaka 2004.
-
Shakhsia wa Kiafrika: Israel isiruhusiwe kujipenyeza Afrika
Jul 22, 2018 23:12Shakhsia mbalimbali walioshiriki Kongamano la Kuiunga Mkono Palestina katika mji mkuu wa Mauritania, Nouakchott wamesisizia udharura wa nchi za Afrika kutouruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kujipenyeza katika bara hilo; na badala yake ziliunge mkono taifa la Palestina.
-
Dakta Kharrazi: Makundi ya kigaidi yanahamishiwa Afghanistan na kaskazini mwa Afrika
Jul 15, 2018 09:38Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Iran amesema kuwa, baada ya makundi ya kigaidi kushindwa huko Syria na Iraq sasa yanahamishiwa katika maeneo mengine hususan Afghanistan na kaskazini mwa Afrika.
-
Indhari kuhusu mgogoro wa chakula katika eneo la Sahel Afrika
Jul 08, 2018 03:09Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetahadharisha kuhusu mgogoro wa chakula katika eneo la Sahel barani Afrika.
-
Viongozi wa Afrika wasisitiza kuimarishwa ushirikiano kwa ajili ya kutatua migogoro ya bara hilo
Jul 02, 2018 08:05Kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika AU kimefanyika huko Nouakchott, mji mkuu wa Mauritania chini ya kaulimbiu ya 'Ushindi katika Mapambano dhidi ya Ufisadi; Njia Endelevu Kuelekea Mabadiliko Barani Afrika.'
-
Austria: Afrika ni ufunguo wa utatuzi wa mgogoro wa Wahajiri
Jul 01, 2018 22:02Kansela wa Austria amevitaja vikao vya pamoja kati ya Ulaya na Afrika kuwa ni nukta adhimu katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa wahajiri.
-
Morocco: Zaidi ya magaidi elfu 10 wapo barani Afrika
Jun 27, 2018 23:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amesema kuwa, zaidi ya magaidi elfu 10 wapo barani Afrika.
-
Austria yataka kutumwa Afrika askari wa EU kuzuia wimbi la wahajiri
Jun 24, 2018 03:09Waziri wa Ulinzi wa Austria, Mario Kunasek ametoa mwito wa kutumwa askari wa Gadi ya Mpakani ya Umoja wa Ulaya katika nchi za Afrika 'zinazoafiki pendekezo hilo' ili kukabiliana na wimbi la wahajiri kutoka nchi hizo kueleke Ulaya.
-
Bunge la Zimbabwe latupilia mbali mpango wa kumsaili Mugabe
Jun 12, 2018 02:40Bunge la Zimbabwe limetupilia mbali mpango wa kutaka kumsaili rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe, kuhusu utendaji wa migodi ya almasi wakati wa uongozi wake.
-
FAO yasema vyama vya ushirika vinaweza kuimarisha kilimo Afrika
Jun 02, 2018 09:15Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa FAO linasema sekta ya ukulima Afrika inaweza kustawishwa zaidi iwapo mkulima wa kijijni naye atajengewa uwezo kupitia vyama vya ushirika.