-
Kongamano la kiuchumi na uwekezaji baina ya Iran na Afrika kuanza leo Tehran
Oct 28, 2017 23:35Kongamano la kiuchumi na uwekezaji baina ya Iran na Afrika linafanyika leo mjini Tehran huku zaidi ya washiriki 600 wakitazamiwa kuhudhuria kutoka sekta binafsi za pande mbili. Aidha maafisa wa serikali za Afrika na Iran watahudhuria kongamano hilo.
-
Safari ya balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa barani Afrika
Oct 24, 2017 11:44Nikki Haley, balozi na mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa anafanya safari barani Afrika akiwa mjumbe maalumu wa Rais Donald Trump anayeuongoza ujumbe wa nchi yake
-
Dunford: Marekani imeazimia kujiimarisha zaidi kijeshi barani Afrika
Oct 24, 2017 04:03Mkuu wa Jeshi la Marekani amesema kuwa, nchi yake ina nia ya kujiimarisha kabisa kijeshi barani Afrika.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusu kuendelea ndoa za watoto wadogo barani Afrika
Oct 24, 2017 04:01Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetahadharisha kuhusu madhara ya kuendelea kuozeshwa watoto wadogo barani Afrika.
-
Sisitizo la kuimarishwa kikosi cha kijeshi cha kundi la 5 la nchi za Sahel kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Oct 24, 2017 01:03Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimesisitiza kuimarishwa zaidii kikosi cha wanajeshi wa nchi tano za eneo la Sahel barani Afrika kwa jina la G-5 ili kutekeleza oparesheni za kupambana na ugaidi katika eneo hilo.
-
Marekani yazidi kujikita kijeshi Afrika; idadi ya askari wake barani humo yaongezeka mara tatu
Oct 21, 2017 04:18Gazeti la Kifaransa la Le Monde limeripoti kuwa Marekani imepanua wigo wa uingiliaji wake kijeshi katika nchi za Afrika kwa kuongeza idadi ya askari wake walioko kwenye nchi za bara hilo.
-
WFP: Hakuna usawa katika ugawaji chakula duniani, umasikini unatia wasi wasi
Oct 17, 2017 04:42Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula la WPF limetoa ripoti likielezea kutokuwepo usawa katika ugawaji chakula na kwamba ongezeko la umasikini katika maeneo tofauti ya dunia ni lenye kutia wasi wasi mkubwa.
-
Tahadhari kuhusu njama za utawala wa Kizyauni wa Israel kujipenyeza zaidi Afrika
Oct 16, 2017 09:22Makundi ya kisiasa nchini Tunisia yametahadharisha kuhusu mikakati ya utawala wa Kizayuni wa Israel barani Afrika.
-
Nchi za Afrika zatahadharishwa kuhusu harakati za Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani humo
Oct 15, 2017 23:39Makundi mbalimbali ya kisiasa ya Tunisia yamezitahadharisha nchi za Afrika kuhusu harakati zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani humo.
-
Katibu Mkuu wa UN asisitiza umuhimu wa kutatuliwa migogoro ya Afrika
Oct 14, 2017 23:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza umuhimu wa kutatuliwa migogoro ya Afrika kwa shabaha ya kutafuta sababu na chanzo cha njaa na uhaba wa chakula katika nchi za bara hilo na huko Yemen.