-
Kenya kuwa makao makuu ya Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika Mashariki
Jun 12, 2016 00:00Kenya imeteuliwa kuwa makao makuu ya kanda ya Kituo cha Kuratibu Udhibti wa Magonjwa Afrika, CDC-Africa, ili kufuatilia afya ya umma na changamoto katika nchi za Afrika Mashariki.
-
Dawa zilizopitwa na wakati kutoka Ulaya zahangaisha Waafrika
Jun 06, 2016 23:23Asilimia 42 ya dawa zilizopigwa marufuku katika masoko ya bara Ulaya tangu mwaka 2012, zinauzwa katika nchi za bara Afrika.
-
Sisitizo la kuendeshwa mapambano ya pande zote dhidi ya ugaidi barani Afrika
Jun 05, 2016 06:28Rais wa Senegal amezitolea mwito serikali mbalimbali kushirikiana na kukusanya nguvu na nyezo zote ili kupambana na makundi yenye misimamo ya kufurutu ada.
-
Umoja wa Afrika wakosoa kasi ndogo ya ufungamano barani Afrika
May 30, 2016 03:02Umoja wa Afrika umelalamika kuhusu kasi ndogo ya kuelekea kwenye mafungamano ya bara la Afrika.
-
Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika
May 26, 2016 02:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza azma yake ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na bara la Afrika.
-
Siku ya Afrika inaadhimishwa leo mjini Tehran
May 25, 2016 03:01Sherehe za kuadhimisha Siku ya Afrika zinafanyika leo hapa mjini Tehran katika ofisi ya utafiti wa kisiasa na kimataifa ya Wizara ya Mambo ya Nje.
-
Kirusi hatari cha Zika charipotiwa Afrika kwa mara ya kwanza
May 20, 2016 11:55Kirusi hatari cha Zika kimeripotiwa kuibuka barani Afrika kwa mara ya kwanza katika Visiwa vya Cape Verde magharibi mwa bara hilo.
-
Msalaba Mwekundu: Watu milioni 31 wanahitaji misaada ya dharura kusini mwa Afrika
May 17, 2016 23:03Mashirika ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu yamesema yanahitaji dola milioni 110 za Marekani ili kuzisaidia nchi za kusini mwa Afrika, zinazokabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula na lishe duni iliyosababishwa na ukame.
-
UN: Mamilioni ya watu wanahitajia misaada ya chakula katika eneo la Ziwa Chad
May 16, 2016 23:46Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mamilioni ya watu katika eneo la Ziwa Chad barani Afrika wanahitajia misaada ya chakula.
-
AU yaelezea kusikitishwa na kiwango kikubwa cha ufisadi barani Afrika
May 08, 2016 03:05Umoja wa Afrika AU umeelezea kusikitishwa sana na kiwango cha juu cha ufisadi katika nchi za bara hilo.