Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Uchunguzi wa maoni: Uungaji mkono kwa ANC Afrika Kusini unazidi kupungua

    Uchunguzi wa maoni: Uungaji mkono kwa ANC Afrika Kusini unazidi kupungua

    Apr 11, 2024 04:24

    Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Afrika Kusini umekuwa na habari mbaya zaidi kwa Rais Cyril Ramaphosa na chama chake tawala cha African National Congress (ANC) baada ya kuonyesha kuwa uungaji mkono kwa chama hicho unazidi kupungua.

  • Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran: Jinai za Israel Ukanda wa Gaza ni mauaji ya kimbari

    Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran: Jinai za Israel Ukanda wa Gaza ni mauaji ya kimbari

    Apr 09, 2024 04:27

    Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema kuwa jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza ni mauaji ya kimbari.

  • Ushiriki wa Ireland katika kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza

    Ushiriki wa Ireland katika kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza

    Mar 30, 2024 01:01

    Ireland ilitangaza Jumatano, Machi 27, kwamba itashiriki katika kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Isarel kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo huko Gaza.

  • Watu 45 wafariki dunia katika ajali ya basi la wafanyaziara wa Pasaka nchini Afrika Kusini

    Watu 45 wafariki dunia katika ajali ya basi la wafanyaziara wa Pasaka nchini Afrika Kusini

    Mar 29, 2024 03:05

    Watu wasiopungua 45 wamefariki dunia nchini Afrika Kusini wakati basi lililokuwa limebeba wafanyaziara wa Pasaka lilipotumbukia kwenye daraja jana Alhamisi.

  • Jiji kuu la Afrika Kusini Johannesburg lakumbwa na uhaba wa maji ambao haujawahi kutokea

    Jiji kuu la Afrika Kusini Johannesburg lakumbwa na uhaba wa maji ambao haujawahi kutokea

    Mar 21, 2024 22:58

    Mji mkubwa zaidi wa Afrika Kusini Johannesburg, ambao pia ni mji mkuu wa kiuchumi wa nchi hiyo umekumbwa na uhaba mkubwa wa maji kwa zaidi ya wiki mbili sasa kutokana na kusambaratika mfumo wake wa maji.

  • Ukosoaji wa Afrika Kusini dhidi ya Israel kwa kukaidi uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki

    Ukosoaji wa Afrika Kusini dhidi ya Israel kwa kukaidi uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki

    Mar 21, 2024 04:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema kuwa kutotekelezwa maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya Israel kunaidhoofisha mahakama hiyo.

  • Maafisa wa uchunguzi Afrika Kusini wapekua nyumba ya Spika anayetuhumiwa kupokea hongo

    Maafisa wa uchunguzi Afrika Kusini wapekua nyumba ya Spika anayetuhumiwa kupokea hongo

    Mar 20, 2024 08:03

    Maafisa wa Kitengo Maalumu cha Uchunguzi nchini Afrika Kusini wamepekua nyumba ya Spika wa Bunge kwa zaidi ya saa tano na kuchukua ushahidi kama sehemu ya uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili kiongozi huyo za kupokea hongo alipokuwa waziri wa ulinzi.

  • Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuishtaki Israel katika mahakama ya ICJ

    Iran yaipongeza Afrika Kusini kwa kuishtaki Israel katika mahakama ya ICJ

    Mar 16, 2024 23:25

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza na kuishukuru Afrika Kusini kwa uamuzi wake wa kihistoria wa kuwasilisha kesi dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu jinai za mauaji ya kimbari zinazotekelezwa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Naledi Pandor: Raia wa Afrika wanaoshiriki katika vita dhidi ya Gaza wakirejea watakamatwa

    Naledi Pandor: Raia wa Afrika wanaoshiriki katika vita dhidi ya Gaza wakirejea watakamatwa

    Mar 14, 2024 11:24

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini amesema kuwa, raia yeyote wa nchi hiyo atakayeusaidia utawala wa Kizayuni katika vita vya Ukanda wa Gaza atatiwa mbaroni punde tu atakaporejea Afrika Kusini.

  • Afrika Kusini: Utawala wa Kizayuni hauheshimu hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu

    Afrika Kusini: Utawala wa Kizayuni hauheshimu hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu

    Mar 11, 2024 22:40

    Rais wa Afrika Kusini ameashiria kutotekelezwa hukumu ya awali ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) iliyosema kwamba kuna ulazima utawala ghasibu wa Israel uzuiye mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza; na kueleza wasiwasi wake kuhusu hali ya mambo katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS