-
Afrika Kusini: Tutaendelea kutumia teknolojia ya China licha ya mashinikizo ya US
Aug 08, 2023 04:05Afrika Kusini imesema itaendelea kustafidi na teknolojia ya shirika la China la Huawei licha ya kushinikizwa na Marekani iachane na kampuni hiyo.
-
Makamanda wa majeshi ya majini ya Afrika Kusini na Venezuela wasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Jul 31, 2023 07:36Makamanda wa vikosi vya wanamaji vya majeshi ya Afrika Kusini na Venezuela wamesisitiza udharura wa kuimarishwa uhusiano wa kiulinzi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao chao na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Afrika Kusini: Baraza la Usalama la UN limeifelisha dunia
Jul 27, 2023 06:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesisitizia udharura wa kufanyiwa mabadiliko muundo wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisisitiza kuwa, chombo hicho kimeifelisha dunia kwa kutofanya kazi inavyotakiwa.
-
Putin: Afrika ni miongoni mwa nguzo muhimu za ulimwengu wa kambi kadhaa
Jul 26, 2023 22:59Rais Vladimir Putin wa Russia ametilia mkazo umuhimu wa bala la Afrika kama moja ya nguzo za ulimwengu wa pande kadhaa.
-
Russia: Dunia haiwezi tena kuvumilia sera za kutii amri za Marekani
Jul 25, 2023 03:38Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema dunia ya sasa haivumilii tena sera za kufuata amri za Marekani na inaelekea kwenye mfumo wa kambi kadhaa, mchakato ambao haukubaliwi na nchi za Magharibi.
-
Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran ahudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini
Jul 24, 2023 08:02Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Iran yuko nchini Afrika Kusini kushiriki mkutano wa ngazi ya juu wa usalama wa nchi kundi la BRICS.
-
Waislamu Afrika Kusini wataka jibu la haraka kwa kuvunjiwa heshima Qurani
Jul 24, 2023 07:57Waislamu nchini Afrika Kusini wameitaka serikali ya nchi hiyo itoe taarifa ya kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
-
Wakuu wa Ufaransa, Marekani na Uingereza wapuuzwa, hawakualikwa mkutano wa BRICS
Jul 24, 2023 07:35Marais wa Ufaransa na Marekani na Waziri Mkuu wa Uingereza hawakualikwa kwenye mkutano ujao wa kundi la BRICS uliopangwa kufanyika barani Afrika.
-
Iran yataka kutokomezwa mfumo wa apartheid Palestina
Jul 19, 2023 09:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kusambaratisha mfumo wa ubaguzi wa rangi (apartheid) kote duniani na hususan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Watu wasiopungua 16 wapoteza maisha katika mkasa wa kuvuja gesi Afrika Kusini
Jul 06, 2023 04:10Watu wasiopungua 16 wakiwemo watoto wameaga dunia baada ya kuvuja gesi katika eneo la mabanda karibu na mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini.