Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Wapinzani Afrika Kusini waandamana; wamtaka Zuma aondoke madarakani

    Wapinzani Afrika Kusini waandamana; wamtaka Zuma aondoke madarakani

    Apr 12, 2017 09:38

    Maelfu ya watu leo Jumatano wameandamana huko Pretoria mji mkuu wa Afrika Kusini dhidi ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kufuatia mabadiliko aliyofanya katika baraza lake la mawaziri na kukabiliwa na ukosoaji mkubwa ndani.

  • Afrika Kusini kizimbani ICC leo kwa kutomkamata Rais wa Sudan

    Afrika Kusini kizimbani ICC leo kwa kutomkamata Rais wa Sudan

    Apr 07, 2017 02:27

    Afrika Kusini hii leo inatazamiwa kupanda kizimbani katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutoa sababu za kutomkamata Rais Omar al-Bashir wa Sudan alipoitembelea nchi hiyo miaka miwili iliyopita.

  • Maelfu ya Waafrika Kusini kuandamana leo kushinikiza Rais Zuma ajiuzulu

    Maelfu ya Waafrika Kusini kuandamana leo kushinikiza Rais Zuma ajiuzulu

    Apr 07, 2017 00:12

    Maelfu ya watu wanatazamiwa kuandamana leo katika miji mikubwa ya Afrika Kusini dhidi ya Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma wakimtaka ajiuzulu baada ya mabadiliko aliyolifanyia Baraza la Mawaziri ambayo yamezusha mgogoro mpya kwa uongozi wake.

  • Wabunge wa ANC kumuunga mkono Zuma katika kura ya kutokuwa na imani naye

    Wabunge wa ANC kumuunga mkono Zuma katika kura ya kutokuwa na imani naye

    Apr 06, 2017 10:05

    Wabunge wa chama tawala cha African National Congress (ANC) nchini Afrika Kusini wametangaza kuwa, watapinga hoja ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma katika Bunge la nchi hiyo iliyopangwa kuwasilishwa bungeni Aprili 18.

  • Muungano wa vyama vya wafanyakazi Afrika Kusini wamtaka Zuma ajiuzulu

    Muungano wa vyama vya wafanyakazi Afrika Kusini wamtaka Zuma ajiuzulu

    Apr 04, 2017 23:40

    Shirikisho Kuu la Vyama vya Wafanyakazi Afrika Kusini (Cosatu) limemtaka Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo aachie ngazi likisisitiza kuwa mwanasiasa huyo amepoteza itibari na uwezo wa kuliongoza taifa.

  • Zuma ampiga kalamu nyekundu Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini

    Zuma ampiga kalamu nyekundu Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini

    Mar 30, 2017 23:51

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amempiga kalamu nyekundu Waziri wa Fedha wa nchi hiyo, Pravin Jamnadas Gordhan.

  • Afrika Kusini yapania kuiuzia Iran mfumo wa makombora

    Afrika Kusini yapania kuiuzia Iran mfumo wa makombora

    Mar 20, 2017 03:58

    Mtandao wa habari wa mybroadband umeripoti kuwa Afrika Kusini inataka kuiuzia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mfumo wa makombora ya ardhini hadi angani.

  • Afrika Kusini yaunga mkono mpango wa kuasisiwa nchi huru ya Palestina

    Afrika Kusini yaunga mkono mpango wa kuasisiwa nchi huru ya Palestina

    Mar 17, 2017 13:08

    Afrika Kusini imesisitiza kuwa inaunga mkono suala la kuasisiwa nchi huru ya Palestina ili kuhitimisha mzozo wa Mashariki ya Kati.

  • ANC yaahidi kutokomeza ufisadi Afrika Kusini

    ANC yaahidi kutokomeza ufisadi Afrika Kusini

    Mar 12, 2017 10:13

    Chama tawala cha Afrika Kusini, ANC, kimesema, kinapaswa kumaliza ufisadi na kukomesha mifarakano baina ya wanachama sambamba na kutekeleza ahadi za kuangamiza umaskini iwapo kinataka kusitisha mkondo wa sasa wa kupoteza umashuhuri.

  • Afrika Kusini yarejea nyuma katika azma yake ya kujiondoa mahakama ya ICC

    Afrika Kusini yarejea nyuma katika azma yake ya kujiondoa mahakama ya ICC

    Mar 09, 2017 04:38

    Serikali ya Afrika Kusini imetangaza rasmi kuachana na azma yake ya awali ya kutaka kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS