-
Afrika Kusini yatakiwa ifike ICC kujieleza kwa kutomkamata rais Bashir wa Sudan
Mar 08, 2017 12:24Afrika Kusini imetakiwa kufika katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC mwezi Aprili kujieleza baada ya kukataa kumkamata Rais Omar al Bashir wa Sudan alipotembelea nchi hiyo miaka miwili iliyopita.
-
Zuma: Afrika Kusini itaruhusu utaifishaji wa ardhi bila ya fidia
Feb 24, 2017 10:48Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema leo kuwa nchi hiyo itazifanyia marekebisho sheria zake ili kuruhusu utaifishaji wa ardhi bila ya kuwalipa fidia wamiliki wa ardhi hizo, katika kipindi hiki ambapo nchi hiyo inajaribu kuharakisha zoezi la kuwagawia tena ardhi raia weusi walio wengi wa nchi hiyo.
-
Waafrika Kusini watakiwa kukomesha mashambulizi dhidi ya wageni
Feb 23, 2017 23:37Waziri wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini amewataka wananchi wa nchi hiyo kuwa watulivu kufuatia ghasia na machafuko yanayowalenga wahajiri na raia wa nchi za kigeni nchini humo.
-
Mahakama Kuu Afrika Kusini yazuia serikali kujiondoa mahakama ya ICC
Feb 22, 2017 12:38Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imezuia zoezi la serikali ya nchi hiyo la kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Zuma: Afrika Kusini itaendelea kuwaunga mkono watu wa Palestina
Feb 10, 2017 21:56Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amezihimiza nchi zote duniani ziendelee kuwaunga mkono na kuwatetea watu wanaokandamizwa wa Palestina.
-
Mieleka yashuhudiwa tena bungeni nchini Afrika Kusini
Feb 10, 2017 04:32Kwa mara nyingine tena Bunge la Afrika Kusini jana Alkhamisi lililegeuzwa na kuwa ukumbi wa masumbwi, mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kwa taifa.
-
ANC: Wanaokutana na Waziri Mkuu wa Israel ni wahaini
Jan 14, 2017 12:53Chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC kimepinga vikali hatua ya kiongozi wa chama cha upinzani ya kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu na kusema kuwa huo ni uhaini.
-
Chuki dhidi ya Uislamu, chanzo cha kuhujumiwa misikiti Afrika Kusini
Jan 14, 2017 04:03Serikali ya Afrika Kusini imesema chuki dhidi ya Uislamu ndio chanzo cha hujumza mbili dhidi ya misikiti mjini Cape Town.
-
Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Rafsanjani
Jan 09, 2017 12:52Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametoa ujumbe wa rambirambi kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Iran na Spika Mstaafu wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).
-
Rais wa Afrika Kusini atoa wito wa kushikamana na wananchi wa Palestina
Jan 09, 2017 12:32Rais wa Afrika Kusini ametoa mwito wa wananchi wa nchi hiyo kushikamana na kufungamana na wananchi wa Palestina.