-
Waandamanaji Afrika Kusini wamtaka Rais Zuma ajiuzulu
Apr 27, 2016 23:37Wapinzani nchini Afrika Kusini wameitisha maandamano ya kumshinikiza Rais Jacob Zuma ajiuzulu.
-
Malalamiko ya chama tawala nchini Afrika Kusini dhidi ya matamshi ya wapinzani
Apr 26, 2016 22:03Chama tawala nchini Afrika Kusini kimetoa taarifa na kutangaza kuwa, matamshi ya Julius Malema mmoja wa wapinzani wa Rais Jacob Zuma ni hiana na usaliti dhidi ya maslahi ya kitaifa na kwamba, serikali ya nchi hiyo itamshtaki.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na Rais wa Afrika Kusini
Apr 25, 2016 08:53Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ambaye Jumapili aliwasili Tehran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu alikutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
ANC kumpandisha kizimbani Malema, ametishia kutumia silaha dhidi ya chama tawala
Apr 25, 2016 08:37Chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) kimesema kunapanga mikakati ya kumfikisha mahakamani kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters, Julius Malema baada ya kusema kuwa atatumia silaha kukiondoa madarakani chama cha ANC.
-
Iran, Afrika Kusini kushirikiana kuinua hadhi ya wanawake
Apr 24, 2016 23:34Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya wanawake Bi. Shahindokht Molaverdi amesema, Iran na Afrika Kusini zitashirikiana katika kuinua hadhi ya wanawake.
-
Iran yasisitiza kuimarisha uhusiano na Afrika Kusini
Apr 24, 2016 12:29Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema watu wa Iran walisimama bega kwa bega na kuwaunga mkono wazalendo wa Afrika Kusini wakati wakipambana na utawala wa makaburuwabaguzi wa rangi.
-
Rais Rouhani ampokea rasmi Rais Zuma wa Afrika Kusini
Apr 24, 2016 03:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempokea rasmi mwenzake wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ikiwa ni safari ya kwanza kwa rais huyo kuitembelea nchi hii tangu baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na nchi zinazounda kundi 5+1.
-
Malema: Tuko tayari kupindua serikali ya Zuma hata kwa silaha
Apr 24, 2016 03:12Kinara wa upinzani nchini Afrika Kusini ameonya kuwa, wapinzani wako tayari kuipindua serikali ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo hata kwa mtutu wa bunduki.
-
Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chaahidi 'serikali ya ukweli'
Apr 23, 2016 22:19Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Muungano wa Kidemokrasia (DA) kimezindua ilani yake ya uchaguzi katika jiji la Johannesburg, kitovu cha uchumi na moja ya maeneo kiliyokusudia kuyanyakua kutoka mikononi mwa chama tawala cha ANC katika uchaguzi wa mabaraza ya miji utakaofanyika mwezi Agosti.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran leo
Apr 22, 2016 23:50Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya leo akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.