-
Bahrain yakataa kumuachia huru mtoto wa miezi 17
May 24, 2016 11:51Serikali ya Bahrain imekataa ombi la mfungwa wa kisiasa Zainab al-Khawaja, kumuachia huru mwanawe wa miezi 17, kwa kuwa hali yake imedhoofu na hawezi tena kumshughulikia.
-
Hongo na ukandamizaji; silaha ya utawala wa Aal Khalifa ya kukabiliana na wapinzani Bahrain
May 22, 2016 11:49Ripoti kutoka Bahrain zinaeleza kuwa utawala wa kifalme wa ukoo wa Aal Khalifa unaendeleza siasa na sera zake za ukatili na ukandamizaji dhidi ya wapinzani na kushadidisha ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Malkia wa Uingereza akosolewa kwa kushirikiana na Mfalme wa Bahrain
May 19, 2016 03:33Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International na Human Rights Watch yamemjia juu Malkia Elizabeth II wa Uingereza kwa kumualika Mfalme wa Bahrain Hamad bin Isa Al-Khalifa katika sherehe za kuadhimisha miaka 90 ya kuzaliwa kwake, licha ya kufahamu dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Manama dhidi ya wananchi.
-
Ukiukaji wa kupindukia mipaka wa haki za binadamu nchini Bahrain
May 17, 2016 02:36Ripoti ya jumuiya ya haki za binadamu ya Bahrain kuhusu uvunjwaji mkubwa wa haki binadamu nchini humo unaofanywa na utawala wa Aal Khalifa, kupasishwa hukumu ya kifungo cha maisha jela na mahakama kuu ya rufaa dhidi ya wapinzani wanne wa serikali na tamko la viongozi wa kidini wa Bahrain la kulaani siasa za ukoo wa kifalme wa nchi hiyo, ni miongoni mwa mambo muhimu yaliyogonga vichwa habari katika siku za hivi karibuni.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana na kusisitiza kuachiliwa huru Sheikh Ali Salman
May 13, 2016 23:22Wananchi wa Bahrain jana Ijumaa walifanya maandamano makubwa dhidi ya utawala wa kifalme wa nchi hiyo na kusisitiza kuendeleza mapinduzi yao.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana kushinikiza kuachiwa Sh. Salman
Apr 30, 2016 03:28Kwa mara nyingine tena wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano katika barabara za nchi hiyo kushinikiza kuachiwa huru msomi mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Ali Salman.
-
Wanaharakati: Mapambano Bahrain kuendelea hadi matakwa yatimizwe
Apr 27, 2016 23:33Kiongozi wa mrengo wa Februari 14 nchini Bahrain amelaani wimbi la ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya wananchi na kusisitiza kuwa mapambano ya wapinzani yataendelea hadi matakwa yao yote yatakapotimizwa.
-
Ripoti ya kushtua kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Bahrain
Apr 04, 2016 02:45Taasisi moja isiyo ya kiserikali inayotetea haki za binadamu nchini Bahrain imetoa ripoti ya kushtusha kuhusu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini humo katika mwaka uliopita.
-
Mahakama za utawala wa Aal Khalifa zaendelea kutoa hukumu za kidhalimu dhidi ya Wananchi wa Bahrain
Mar 29, 2016 23:40Mahakama moja nchini Bahrain imetoa hukumu ya kidhalimu ya vifungo jela kwa raia kumi wa nchi hiyo kwa madai ya kuwashambulia askari polisi katika maandamano yaliyofanyika katika kijiji kimoja ambacho wakaazi wake ni Waislamu wa Kishia.
-
Wabahrain watano wavuliwa uraia na kuhukumiwa kifungo jela
Mar 25, 2016 21:12Mahakama moja nchini Bahrain imewahukumu vifungo vya miaka mitano hadi 15 jela wapinzani wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa.