-
HRW yapinga suala la kuhamishiwa wakimbizi wa Rohingya na kupelekwa maeneo ya mbali
Aug 07, 2018 02:19Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limepinga mpango wa serikali ya Bangladesh wa kutaka kuwahamishia Waislamu wakimbizi wa Rohingya katika maeneo ya mbali.
-
Msalaba Mwekundu: Myanmar sio salama kurejea wakimbizi wa Rohingya
Jul 02, 2018 07:40Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu imesema sio salama kwa maelfu ya wakimbizi wa Rohingya wanaoshi kambini katika nchi jirani ya Bangladesh kurejea makwao katika mkoa wa Rakhine nchini Myanmar.
-
Matarajio ya Bangladesh kwa China kuhusu wakimbizi Waislamu wa Myanmar
Jul 01, 2018 07:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ameeleza utayari wa serikali ya Myanmar kwa ajili ya kurejea nchini humo mamia ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya kutoka Bangladesh.
-
Msafara wa walinda amani wa UN wavamiwa Sudan Kusini, askari auawa
Jun 26, 2018 15:09Askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini ameuawa mapema leo Jumanne baada ya msafara wa magari ya mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu kuviziwa na kushambuliwa na genge la wabeba silaha magharibi mwa nchi hiyo.
-
UN: Watu 4,000 wamekimbia mapigano mapya Myanmar
Apr 28, 2018 07:43Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya elfu nne wamekimbia mapigano mapya kati ya wanajeshi wa Myanmar na genge moja la kikabila katika muda wa wiki chache zilizopita, kaskazini mwa nchi.
-
Madai ya Myanmar kuhusu suala la kurejea wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Bangladesh
Apr 14, 2018 07:27Waziri wa Ustawi wa Jamii wa Myanmar amedai kuwa, kurejea nchini humo wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Bangladesh ni katika mambo yanayopewa kipaumbele na serikali ya nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusaidiwa wakimbizi Waislamu Warohingya
Mar 17, 2018 07:59Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukusanywa misaada kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi takribani milioni moja wa jamii ya Rohingya wa Myanmar ambao wako katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh sambamba na kuandaliwa mazingira ya Waislamu hao kurejea nchini kwao.
-
Makumi ya watu wapoteza maisha baada ya ndege kuanguka Kathmandu, Nepal
Mar 12, 2018 13:51Ndege ya abiria iliyokuwa imebaba watu 71 kutoka Bangladesh imeanguka wakati ikitua katika uwanja wa ndege wa Kathmandu, mji mkuu wa Nepal ambapo taarifa zainasema makumi ya watu wamefariki.
-
UN yasema mauaji dhidi ya Waislamu wa Rohingya yanaendelea Myanmar
Mar 06, 2018 07:58Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusiana na kuendelea mauaji ya kizazi yanayofanywa na serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.
-
Bangladesh yalalamikia hatua ya Myanmar kuweka askari wake wengi karibu na eneo walipo Waislamu
Mar 02, 2018 14:18Wizara ya Mambo ya Nje ya Bangladesh imelalamikia hatua ya Myanmar ya kuongeza idadi ya askari wake katika eneo lililo karibu na kambi za maelfu ya Waislamu wa Rohingya katika sehemu ya uzio wa mpaka baina ya nchi mbili.