-
Boko Haram yawateka nyara watema kuni 50 Nigeria
Nov 23, 2018 04:26Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeripotiwa kuwateka nyara makumi ya watu waliokuwa wanatema kuni kaskazini mashariki mwa Nigeria, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Cameroon.
-
Askari wapatao 100 wa Nigeria wauawa katika shambulio dhidi ya kituo cha jeshi
Nov 23, 2018 01:23Askari wapatao 100 wa jeshi la Nigeria akiwemo afisa wa ngazi za juu wa jeshi hilo wameuliwa katika shambulio dhidi ya kituo cha jeshi, ambapo duru za usalama zinasema, limefanywa na kundi linalojiita Dola la Kiislamu Afrika Magharibi.
-
Watu 7 wauawa katika hujuma ya Boko Haram nchini Niger
Nov 22, 2018 11:13Watu waliojizatiti kwa silaha wanaoaminika kuwa na mfungamano na genge la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram wameshambulia kampuni ya kuchimba visima vya maji ya Ufaransa ya Foraco kusini mashariki mwa Niger na kuua watu wasiopungua saba.
-
Jeshi la Nigeria lakosolewa kwa 'kumuua mara mbili' kamanda wa Boko Haram
Nov 20, 2018 04:34Waandishi wa habari, wakosoaji wa serikali na watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Nigeria wamelijia juu jeshi la nchi hiyo kwa kutangaza kuwa limemuua kamanda mwandamizi wa kundi la kigaidi la Boko Haram, licha ya kutoa taarifa kama hiyo mwaka jana.
-
Boko Haram yaua wakulima 16 Borno, kaskazini mwa Nigeria
Nov 14, 2018 11:00Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeshambulia vijiji kadhaa katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua wakulima wasiopungua 16.
-
Makumi ya watu waripotiwa kuaga dunia Nigeria kwa kipindupindu
Nov 12, 2018 23:22Kamisheni ya Wakimbizi ya Norway imetangaza kuwa idadi ya maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu yameshika kasi zaidi huko kaskazini mwa Nigeria ambako makumi ya maelfu ya raia wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na mashambulizi yanayofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Mamia ya raia wakimbia baada ya shambulio la Boko Haram Nigeria
Nov 12, 2018 04:16Mamia ya wanavijiji juzi jioni walizikimbia nyumba zao huko kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya wanamgambo wa kundi la Boko Haram kuwashambulia.
-
Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa Boko Haram wameuwa watu 15 Nigeria
Nov 01, 2018 12:50Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wamewauwa watu wasiopungua 15 katika shambulio dhidi ya vijiji vilivyoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo jana jioni.
-
Wakulima 12 wauawa na magaidi wa Boko Haram katika jimbo la Borno
Oct 21, 2018 04:14Kundi la kigaidi la Boko Haram limewaua wakulima wasiopungua 12 na kujeuhi makumi ya wengine, baada ya kufanya shambulio katika kitongoji kimoja katika mji wa Maiduguri ulioko katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Cameroon: Tumelishinda na kulitokomeza kundi la Boko Haram
Sep 30, 2018 10:58Rais Paul Biya wa Cameroon amesema taifa hilo limefanikiwa kuliangamiza kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram ambalo limeua maelfu ya watu na kusababisha mamilioni ya wengine kuwa wakimbizi wa ndani na nje ya nchi.