-
Magaidi wa Boko Haram wamewateka watoto zaidi ya 1,000 tokea 2013
Apr 13, 2018 09:40Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewateka watoto zaidi ya 1,000 tokea mwaka 2013.
-
Jeshi la Nigeria lawaokoa mateka 149 kutoka mikononi mwa Boko Haram
Apr 09, 2018 22:19Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewakomboa mateka 149 kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Boko Haram wafanya shambulizi kaskazini mashariki mwa Nigeria watu 18 wauawa
Apr 02, 2018 09:59Duru za habari nchini Nigeria zimeripoti kwamba, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram limefanya shambulizi katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Serikali ya Nigeria inafanya mazungumzo na Boko Haram ya uwezekano wa kusitisha mapigano
Mar 26, 2018 00:02Waziri wa Habari wa Nigeria amesema serikali inafanya mazungumzo na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kuhusu uwezekano wa kusitisha mapigano, lengo kuu likiwa ni kuhitimisha kikamilifu uadui na uhasama baina ya pande mbili.
-
Jeshi la Chad lapambana na magaidi wa Boko Haram
Mar 24, 2018 21:51Duru za kijeshi za Chad zimetangaza habari ya kutokea mapigano kati ya jeshi la nchi hiyo na magaidi wa Boko Haram katika eneo la Ziwa Chad.
-
Boko Haram yawaachia huru mabinti 100 iliowateka, yaonya
Mar 21, 2018 10:39Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limewaachia huru mabinti 100 kati ya 110 iliowateka nyara mwezi uliopita wa Februari, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Amnesty: Nigeria haikujali tahadhari kuhusu utekaji nyara Dapchi
Mar 21, 2018 01:00Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, askari usalama wa Nigeria hawakujali taarifa walizopewa zilizotahadharisha kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha lilikuwa mbioni kuelekea katika mji ambako wasichana wasiopungua 110 wa shule walitekwa nyara mwezi uliopita wa Februari.
-
Azma ya nchi za eneo la Ziwa Chad ya kuliangamiza kundi la Boko Haram
Mar 16, 2018 10:52Nchi za eneo la Ziwa Chad pamoja na Benin zimetangaza kuwa zimedhamiria kwa dhati kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram.
-
Nigeria kuzungumza na Boko Haram kuhusu kuachiwa huru wasichana 110 waliotekwa
Mar 12, 2018 23:37Serikali ya Nigeria imesema inapanga kufanya mazungumzo na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram juu ya kuachiwa huru makumi ya wasichana wa shule waliotekwa na wanamgambo hao mwezi uliopita.
-
Boko Haram yaua raia 10 katika shambulizi la kigaidi nchini Nigeria
Mar 07, 2018 22:11Habari kutoka Nigeria zimeripoti kwamba kwa akali raia 10 wameuawa na wanamgambo wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram katika mashambulizi matatu tofauti, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.