-
Jeshi Nigeria laangamiza wanachama 10 wa kundi la Boko
Jun 25, 2016 11:04Wanachama kumi wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuawa kufuatia operesheni ya jeshi la Nigeria katika miji ya Gamboru na Ngala iliyoko katika jimbo la Borno.
-
Nigeria, Chad, Niger zaanzisha oparesheni ya pamoja dhidi ya Boko Haram
Jun 22, 2016 02:37Majeshi ya Nigeria, Niger na Chad yameanzisha oparesheni ya pamoja dhidi ya magaidi wakufurishaji wa Boko Haram.
-
Boko Haram waua watu 4 na kuteka nyara wanawake 3 Chibok, Nigeria
Jun 15, 2016 11:06Wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameua wanakijiji wasiopungua wanne na kuwateka nyara wanawake watatu karibu na mji wa Chibok ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria ambako miaka miwili nyuma waliwateka nyara wasichana zaidi ya 200.
-
Ban Ki-moon asisitiza udharura wa kuungwa mkono mapambano dhidi ya Boko Haram
Jun 14, 2016 10:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amezitaka nchi za eneo la katikati mwa Afrika kuwaunga mkono askari jeshi wa mataifa kadhaa yanayoshiriki katika mapambano dhidi ya Boko Haram.
-
Jeshi Nigeria laangamiza Boko Haram
Jun 14, 2016 08:16Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limefanikiwa kusafisha maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo kwa kuangamiza makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Makumi ya wanamgambo wa Boko Haram watiwa nguvuni Nigeria
Jun 09, 2016 09:38Duru za kijeshi za Cameroon zimearifu kuwa makumi ya wanamgambo wa kitakfiri wa Boko Haram wametiwa mbaroni katika oparesheni ya kijeshi iliyofanywa na jeshi la Cameoon kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
50,000 watoroka Niger kufuatia hujuma za magaidi wa Boko Haram
Jun 07, 2016 23:08Melfu ya watu wamekimbia nyumba zao kusini kaskazini mwa Niger kufuatia mfululizo wa mashambulizi toka kwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram walioko mjini Bosso mkoani Diffa.
-
Niger wafanya maandamano kulaani jinai za Boko Haram
Jun 05, 2016 09:54Wananchi wa mji mkuu wa Niger, wamefanya maandamano makubwa ya kutangaza uungaji mkono wao kwa wahanga wa mashambulizi ya hivi karibuni ya genge la kigaidi la Boko Haram.
-
Boko Haram yadhibiti mji wa mpaka na Niger
Jun 04, 2016 03:43Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la Nigeria limeteka na kudhibiti mji wa Bosso, ulioko kusini mashariki mwa mpaka wa Niger.
-
Jeshi la Niger laangamiza wanachama 12 wa Boko Haram
May 29, 2016 09:47Jeshi la Niger limetangaza kuwa limeangamiza wanachama 12 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika kijiji cha Bosso, kusini mashariki mwa eneo la Diffa karibu na mpaka na Nigeria.