-
Kwa akali wakulima 43 wauawa na Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Nov 29, 2020 04:19Maafisa wa serikali ya Nigeria wametangaza kuwa, kwa akali watu 43 wameuawa kikatili kufuatia mashambulio yaliyofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Boko Haram yatungua helikopta Nigeria na kuua watu 5
Nov 19, 2020 03:25Kundi la kigaidi la Boko Haram limetungua ndege aina ya helikopta huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua watu watano.
-
Wanachama 75 wa Boko Haram waangamizwa na jeshi la Nigeria
Nov 04, 2020 08:17Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanachama 13 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Nigeria
Sep 28, 2020 08:17Wanachama 13 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram wamejisalimisha kwa jeshi la Nigeria, katika operesheni iliyolenga kusafisha mabaki ya wanamgambo hao huko kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Waliouawa katika shambulizi la Boko Haram Nigeria waongeza
Sep 27, 2020 04:29Idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la kundi la kigaidi la Boko Haram dhidi ya msafara wa Gavana wa jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka na kufikia watu 30.
-
Magaidi 16 wa Boko Haram waangamizwa na jeshi la Nigeria
Sep 19, 2020 08:17Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuuawa wanachama 16 wa kundi la kigaidi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mamilioni ya watu walazimika kuwa wakimbizi eneo la Ziwa Chad kwa sababu ya machafuko
Sep 11, 2020 07:59Harakati za makundi ya waasi na majanga ya kimaumbile yamewalazimisha mamilioni ya watu kuwa wakimbizi katika eneo la Ziwa Chad barani Afrika.
-
Watu 10 wauawa katika shambulizi la Boko Haram, Maiduguri Nigeria
Sep 08, 2020 03:19Watu wasiopungua 10 wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Boko Haram yaua watu 15 kaskazini mwa Cameroon
Aug 03, 2020 03:21Wanamgambao wanaoshukiwa kuwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameua watu 15 na kuwajeruhi wengine 5 katika shambulio la guruneti walilofanya katika kambi ya raia wasio na makazi jana Jumapili huko kaskazini mwa Cameroon.
-
Kundi la kigaidi la Boko Haram laua raia 10 na kuteka nyara wengine saba nchini Chad
Aug 01, 2020 03:36Magaidi wa kundi la ukufurishaji la Boko Haram la nchini Nigeria wameua raia 10 wa Chad katika shambulio dhidi ya kijiji kimoja magharibi mwa nchi hiyo.