-
Jeshi la Nigeria lashambulia ngome muhimu ya Boko Haram, laua kadhaa
Jun 20, 2020 07:26Kituo cha Kamandi ya kuendeshea operesheni za kundi la kigaidi la Boko Haram kimeharibiwa na kusambaratishwa kikamilifu katika mashambulizi kadhaa ya anga yaliyofanywa na jeshi la Nigeria, huko kaskazini mwa nchi.
-
Raia 40, wanajeshi 20 wauawa katika hujuma nchini Nigeria
Jun 14, 2020 07:04Raia zaidi ya 40 na wanajeshi wasiopungua 20 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu 69 wauawa na wanagambo wa Boko Haram Nigeria
Jun 10, 2020 08:01Watu 69 wameauwa katika shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu 241 waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria wanusuriwa
May 30, 2020 03:42Jeshi la Nigeria limewaokoa watu 241 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Askari 19 wa Niger na Nigeria wauawa katika mashambulizi ya Boko Haram
May 21, 2020 02:35Wanajeshi wasiopungua 12 wa Niger wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika eneo la Diffa, kusini mashariki mwa nchi.
-
Wanachama tisa wa Boko Haram wauawa katika mapigano na jeshi la Nigeria
May 17, 2020 08:00Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limewaua wanamgambo tisa wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika mapigano yaliyotokea kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 75 wa Boko Haram waangamizwa kusini mwa Niger
May 15, 2020 00:28Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika operesheni za jeshi la nchi hiyo huko kusini mashariki mwa nchi.
-
Jeshi la Nigeria lawakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram
May 14, 2020 11:08Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuwakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno.
-
Jeshi la Chad laua wapiganaji elfu moja wa Boko Haram
Apr 10, 2020 07:55Msemaji wa jeshi la Chad ametangaza kuwa jeshi hilo limewaangamiza magaidi elfu moja wa kundi la Boko Haram huko Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Chad: Tumeshawatokomeza magaidi wote wa Boko Haram katika ardhi yetu
Apr 07, 2020 14:29Serikali ya Chad imetangaza kuwa magaidi wote wa kundi la Boko Haram wameshatokomezwa na kutimuliwa katika ardhi ya nchi hiyo.