-
Rouhani: Marekani ikituwekea vikwazo vipya, tutatumia masaa kujiondoa JCPOA
Aug 15, 2017 03:31Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatumia masaa machache kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Vienna, iwapo Marekani itathubutu kuliwekea taifa hili vikwazo vipya.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini anusurika na shoka la Bunge kwa mara ya 7
Aug 09, 2017 02:34Kwa mara nyingine tena Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kuenguliwa madarakani baada ya kupataka uungaji mkono hafifu wa chama tawala ANC katika kura ya kutokuwa na imani naye Bungeni.
-
Bunge la Iraq lasherehekea kukombolewa mji wa Mosul
Jul 04, 2017 11:10Wabunge wa Iraq wamefanya sherehe kufurahia ushindi wa hivi karibuni na kukomblewa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri wa Daesh. Hatua hiyo imechukuliwa na Bunge la Iraq ili kuonyesha mshikamano wa Bunge na vikosi vya jeshi la nchi hiyo na harakati ya wananchi ya Hashdu Sha'abi.
-
Bunge la Ujerumani laruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja
Jul 02, 2017 03:48Ijumaa ya juzi Bunge la Ujerumani, Bundestag liliipasisha sheria inayoruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja na kutambua rasmi eti haki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ya kulea watoto nchini humo.
-
Bunge la Zambia lawatimua wabunge waliosusia hotuba ya rais
Jun 14, 2017 03:34Bunge la Zambia limewafukuza makumi ya wabunge wa upinzani ambao walisusia hotuba ya Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo miezi michache iliyopita.
-
Iran yaangamiza magaidi wanne wa ISIS na kunasa silaha na bendera
Jun 12, 2017 21:56Maafisa wa usalama kusini mwa Iran wamefanikiwa kuwaangamzia magaidi wanne wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh sambamba na kunasa silaha walizokuwa nazo pamoja na bendera ya kundi hilo la kigaidi.
-
Magaidi washambulia Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini
Jun 07, 2017 03:18Watu wawili akiwemo afisa wa usalama wameripotiwa kuuawa huku watu wengine wanane wakijeruhiwa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia majengo ya Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini MA, katika mji mkuu Tehran.
-
Rasimu ya sheria ya 'Quds Kubwa' yawasilishwa kwenye bunge la utawala wa Kizayuni
May 30, 2017 23:40Wabunge wawili wa mrengo wa kulia katika bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset wamewasilisha kwenye bunge hilo rasimu ya sheria iliyopewa jina la 'Quds Kubwa'.
-
Iran na Zimbabwe zajadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
May 17, 2017 09:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimejadili njia mbalimbali za kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi baina ya nchi mbili hizo.
-
Kuchukuliwa hatua kali zaidi za usalama Misri; udharura wa kiusalama wenye malengo ya kisiasa
May 12, 2017 08:40Serikali ya Misri imechukua hatua kali zaidi za usalama katika eneo linalozunguka bunge kufuatia kuongezeka vitisho dhidi ya wabunge wa nchi hiyo.