Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bunge

  • Bunge la Uswisi lapinga muswada wa kupiga marufuku vazi la burqa

    Bunge la Uswisi lapinga muswada wa kupiga marufuku vazi la burqa

    Mar 10, 2017 10:30

    Bunge la Uswisi limekataa kupasisha muswada wa kupiga marufuku nchini humo vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.

  • Bunge la Somalia lamuidhinisha Waziri Mkuu mpya, aahidi kutokomeza ufisadi

    Bunge la Somalia lamuidhinisha Waziri Mkuu mpya, aahidi kutokomeza ufisadi

    Mar 01, 2017 12:19

    Bunge la Somalia limemuidhinisha Hassan Ali Khaire kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo katika kikao cha ufunguzi wa Bunge la 10 leo Jumatano, kilichofunguliwa na Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo.

  • Bunge la Misri lataka kuongezwa muda wa Rais

    Bunge la Misri lataka kuongezwa muda wa Rais

    Feb 26, 2017 23:18

    Wawakilishi wa Bunge la Misri wamesema kuwa, wanataka kipindi cha uongozi wa Rais wa nchi hiyo kiongezwe.

  • Uchaguzi wa Rais na Bunge Libya kufanyika kabla ya Februari 2018

    Uchaguzi wa Rais na Bunge Libya kufanyika kabla ya Februari 2018

    Feb 15, 2017 04:29

    Uchaguzi wa Rais na Bunge wa Libya umepangwa kufanyika kufikia mwezi Februari mwaka kesho.

  • Spika wa Bunge la Kuwait ataka Israel ifukuzwe kwenye Umoja wa Mabunge

    Spika wa Bunge la Kuwait ataka Israel ifukuzwe kwenye Umoja wa Mabunge

    Feb 13, 2017 00:50

    Kuwait imelaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi unaofanywa na utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kutoa wito wa kutaka utawala huo ufukuzwe katika Umoja wa Kimataifa wa Mabunge.

  • Kongamano la mabunge ya Kiarabu na mustakbali wa Palestina

    Kongamano la mabunge ya Kiarabu na mustakbali wa Palestina

    Feb 12, 2017 08:37

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya nchi za Kiarabu ameelezea kuwepo migongano ya serikali mpya ya Marekani kuhusu masuala ya ulimwengu wa Kiarabu.

  • Mieleka yashuhudiwa tena bungeni nchini Afrika Kusini

    Mieleka yashuhudiwa tena bungeni nchini Afrika Kusini

    Feb 10, 2017 04:32

    Kwa mara nyingine tena Bunge la Afrika Kusini jana Alkhamisi lililegeuzwa na kuwa ukumbi wa masumbwi, mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kwa taifa.

  • Morocco yaazimia kurejea katika Umoja wa Afrika

    Morocco yaazimia kurejea katika Umoja wa Afrika

    Jan 19, 2017 10:38

    Bunge la Morocco limepiga hatua moja mbele ikiwa ni juhudi za nchi hiyo kutaka kurejea katika Umoja wa Afrika baada ya kujiondoa kwa zaidi ya miongo mitatu iliyopita.

  • Bunge la Gambia lamuongezea Jammeh miezi 3, Nigeria yatuma manowari

    Bunge la Gambia lamuongezea Jammeh miezi 3, Nigeria yatuma manowari

    Jan 18, 2017 13:10

    Bunge la Taifa la Gambia limepasisha azimio la kumruhusu Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo asalie madarakani kwa miezi mitatu zaidi katika hali ambayo muda wake wa kuhudumu unaelekea kumalizika.

  • Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu na kuvuja serikali, Rais kuhutubia Bunge

    Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu na kuvuja serikali, Rais kuhutubia Bunge

    Jan 10, 2017 04:40

    Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Daniel Kablan Duncan amejiuzulu na kutangaza kuvunja serikali yake katika hatua ambayo ilitarajiwa kufuatia kuidhinishwa kwa Katiba mpya ya nchi na uchaguzi wa Bunge uliofanyika mwezi uliopita wa Disemba 2016.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS