Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bunge

  • Wabunge wapya wa Bunge la taifa la Somalia waapishwa mjini Mogadishu

    Wabunge wapya wa Bunge la taifa la Somalia waapishwa mjini Mogadishu

    Dec 28, 2016 04:39

    Wabunge wapya wa Bunge la taifa la Somalia wameapishwa katika hafla iliyofanyika mjini Mogadishu chini ya hatua kali za kiusalama.

  • Bunge la Yemen laidhinisha Serikali ya Wokovu wa Kitaifa

    Bunge la Yemen laidhinisha Serikali ya Wokovu wa Kitaifa

    Dec 11, 2016 11:23

    Bunge la Yemen limeidhinisha Serikali ya Wokovu wa Kitaifa, hatua ambayo imehusisha matumaini ya kupatiwa ufumbuzi wa kudumu mgogoro wa kisiasa nchini humo.

  • Bunge la Israel lautupa muswada wa kupiga marufuku Adhana

    Bunge la Israel lautupa muswada wa kupiga marufuku Adhana

    Dec 07, 2016 12:15

    Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset leo Jumatano limeutupilia mbali muswada wa kupiga marufuku adhana katika mji mtakatifu wa Quds na maeneo mengine ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Wananchi wa Ghana wapiga  kura kumchagua Rais na Wabunge

    Wananchi wa Ghana wapiga kura kumchagua Rais na Wabunge

    Dec 07, 2016 10:48

    Wananchi wa Ghana leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua Rais Mpya na wawakilishi wa bunge.

  • Uchaguzi wa Bunge nchini Gabon waakhirishwa

    Uchaguzi wa Bunge nchini Gabon waakhirishwa

    Dec 03, 2016 23:46

    Uchaguzi wa Bunge nchini Gabon uliokuwa umepangwa kufanyika mwezi huu wa Desemba umeakhirishwa kutokana na kutokuweko bajeti ya kutosha ya kuendesha zoezi la uchaguzi huo.

  • Watetezi wa haki za binadamu wana wasiwasi kuhusu mpango mpya wa bunge la Misri

    Watetezi wa haki za binadamu wana wasiwasi kuhusu mpango mpya wa bunge la Misri

    Nov 16, 2016 10:42

    Bunge la Misri limepasisha mswada kwa ajili ya kubana shughuli za taasisi zisizo za kiserikali nchini humo.

  • Diplomasia ya Russia; kustawisha uhusiano na Iran

    Diplomasia ya Russia; kustawisha uhusiano na Iran

    Nov 14, 2016 23:20

    Katika kipindi hiki, Tehran imekuwa ikifikiwa na ugeni wa viongozi na maafisa wa nchi mbalimbali za Ulaya. Wakati László Kövér, Spika wa bunge la Hungary akiwa bado mjini Tehran kwa mazungumzo na mashauriano na maafisa wa Iran juu ya uhusiano wa mabunge ya nchi mbili Mwenyekiti wa Baraza la Shirikisho la Russia Valentina Ivanovna Matvienko, naye pia amewasili Tehran kwa safari rasmi ya kikazi.

  • Spika wa zamani wa Tanzania afariki dunia, Rais Magufuli atoa mkono wa pole

    Spika wa zamani wa Tanzania afariki dunia, Rais Magufuli atoa mkono wa pole

    Nov 07, 2016 04:33

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha spika wa zamani wa bunge la nchi hiyo, Samuel Sitta aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini Ujerumaini alikokuwa anapatiwa matibabu.

  • Marekani hailipi uzito suala la vita dhidi ya ugaidi

    Marekani hailipi uzito suala la vita dhidi ya ugaidi

    Oct 26, 2016 04:41

    Alauddin Burujerdi Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema Marekani hailipatii uzito suala la vita dhidi ya ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia waakhirishwa tena

    Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia waakhirishwa tena

    Sep 26, 2016 10:43

    Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia uliopangwa kufanyika kuanzia tarehe 24 mwezi huu hadi tarehe 10 ya mwezi ujao wa Oktoba umeakhirishwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS