Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bunge

  • Kenya yatathmini kutuma wanajeshi Sudan Kusini

    Kenya yatathmini kutuma wanajeshi Sudan Kusini

    Aug 18, 2016 22:22

    Bunge la Kenya linatazamiwa kujadili hoja ya iwapo serikali ya Nairobi itatuma wanajeshi wa nchi hiyo KDF nchini Sudan Kusini au la, wiki moja baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio la kutumwa askari 4,000 zaidi nchini humo.

  • Bunge la Tunisia lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu

    Bunge la Tunisia lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu

    Jul 31, 2016 03:12

    Bunge la Tunisia limepitisha kwa wingi mkubwa, kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Habib Essid.

  • Watakaokiuka mapatano ya nyuklia ya Iran watajuta

    Watakaokiuka mapatano ya nyuklia ya Iran watajuta

    Jun 19, 2016 10:13

    Wabunge wa Iran leo wameonya kuwa watakaokiuka mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na madola sita makubwa duniani watajuta.

  • Mbunge wa Uingereza afariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi

    Mbunge wa Uingereza afariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi

    Jun 16, 2016 23:57

    Mbunge wa Uingereza Jo Cox amefariki dunia kutokana na majeraha aliyopata baada ya kupigwa risasi jana.

  • Bunge la Syria laanza vikao, lamchagua Spika mwanamke

    Bunge la Syria laanza vikao, lamchagua Spika mwanamke

    Jun 07, 2016 03:00

    Kwa mara ya kwanza kabisa, bunge la Syria limemteua mwanamke kuwa spika mpya wa bunge hilo.

  • Wabunge wa upinzani Afrika Kusini waburutwa nje ya Bunge kwa kuzuia hotuba ya Zuma

    Wabunge wa upinzani Afrika Kusini waburutwa nje ya Bunge kwa kuzuia hotuba ya Zuma

    May 17, 2016 10:07

    Kwa mara nyingine tena, Bunge la Afrika Kusini limegeuka na kuwa ukumbi wa mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.

  • Wabunge wa Afrika Kusini watandikana juu ya hotuba ya Zuma

    Wabunge wa Afrika Kusini watandikana juu ya hotuba ya Zuma

    May 04, 2016 22:16

    Bunge la Afrika Kusini jana Jumatano liligeuka na kuwa ukumbi wa mieleka huku wabunge wa upinzani wakizusha fujo kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma juu ya bajeti.

  • Syria yatoa tena onyo kali kwa Saudia

    Syria yatoa tena onyo kali kwa Saudia

    Feb 21, 2016 12:31

    Spika wa Bunge la Syria ametoa onyo kali kwa ukoo wa Aal Saud unaojigamba kuwa utatuma wanajeshi wake nchini Syria.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS