-
SAUTI, Burundi: Tutahudhuria mkutano wa EAC na tutautumia mkutano huo kuishitaki Rwanda
Jan 17, 2019 13:45Serikali ya Burundi imetangaza kwamba itahudhuria mkutano wa viongozi wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao.
-
Wakimbizi Warundi wanarejea nyumbani, UNCHR yataka misaada zaidi kuwahudumia
Jan 16, 2019 00:59Raia wa Burundi waliokimbilia hifadhi katika nchi jirani wameanza kurejea katika nchi yao baada ya kuimarika usalama huku Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) likotoa wito wa misaada kwa ajili ya kuwasaidia.
-
Jumuiya ya Waislamu Duniani: Burundi ni kiigizo chema+SAUTI
Jan 15, 2019 12:35Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Duniani yuko safarini nchini Burundi ambapo amehudhuria hii leo mkutano wa kusisitizia haja ya kutumiwa tofauti za kidini na kikabila kuimarisha utangamano.
-
Burundi yakanusha uvumi kuwa inataka kujitoa katika Jumauiya ya Afrika Mashariki + Sauti
Dec 17, 2018 13:43Burundi haijafikiria kujiondoka kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Burundi anayehusika na masuala ya Afrika Mashariki ambaye amesisitiza kuwa, endapo itabaini kuwa sheria zinakiukwa kwa maanufaa ya baadhi ya wanachama huku wengine wakikandamizwa basi nchi hiyo inaweza kufikiria kuchukua hatua hiyo. HAMIDA ISSA na taarifa zaidi akiripoti kutoka Bujumbura
-
Burundi yaiagiza UN ifunge ofisi yake ya haki za binadamu Bujumbura
Dec 06, 2018 11:24Serikali ya Burundi imeliagiza Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lifunge ofisi yake iliyoko katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bujumbura katika kipindi cha miezi miwili ijayo.
-
Tume mpya ya ukweli na maridhiano Burundi yaanza kazi + Sauti
Dec 03, 2018 23:32Mwenyekiti mpya wa tume ya ukweli na maridhiano ya nchini Burundi amekula kiapo mbele ya Rais Piere Nkurunziza wa nchi hiyo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu, Hamida Issa...
-
Burundi yatoa waranti ya kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo
Dec 01, 2018 04:36Serikali ya Burundi imetoa waranti ya kimataifa ya kutiwa mbaroni rais wa zamani wa nchi hiyo, Pierre Buyoya kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kiongozi wa kwanza wa jamii ya Wahutu kuchaguliwa kwa njia ya demokrasia, Melchior Ndadaye.
-
WHO: Kesi 36 mpya za Ebola ziripotiwa DRC
Nov 30, 2018 01:03Hatari wa kuenea ugonjwa habari wa Ebola imeongezeka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi zinazopakana nayo baada ya kesi nyingine 36 kugunduliwa karibu na mpaka wa nchi hiyo katika wiki iliyomalizikia kwenye Novemba 29.
-
SAUTI, UNICEF laahidi kuwasaidia wanafunzi wa kike waliojifungua pamoja na watoto masikini wamalize masomo yao salama
Nov 29, 2018 09:47Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF, limezinduwa mpango mpya wa kazi nchini Burundi ambao utaanza kazi yake mwaka 2019 na kumalizika mwaka 2023.
-
Burundi kuwakusanya watoto wa mitaani "chokoraa" + Sauti
Nov 26, 2018 14:39Ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya watoto wa barabarani, huku serikali ya Burundi ikisema inao mpango wa kuwaondoa watoto wa barabarani katika kipindi kisicho zidi miezi mitatu. Wakati huohuo mashirika ya kimataifa yanakadiria kuwepo watoto wa barabarani zaidi ya elf 3 nchini humo. Kwa maelezo kamili tumtegee sikio mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa...