Burundi yakanusha uvumi kuwa inataka kujitoa katika Jumauiya ya Afrika Mashariki + Sauti
Dec 17, 2018 13:43 UTC
Burundi haijafikiria kujiondoka kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Burundi anayehusika na masuala ya Afrika Mashariki ambaye amesisitiza kuwa, endapo itabaini kuwa sheria zinakiukwa kwa maanufaa ya baadhi ya wanachama huku wengine wakikandamizwa basi nchi hiyo inaweza kufikiria kuchukua hatua hiyo. HAMIDA ISSA na taarifa zaidi akiripoti kutoka Bujumbura
Tags