Jumuiya ya Waislamu Duniani: Burundi ni kiigizo chema+SAUTI
Jan 15, 2019 12:35 UTC
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Duniani yuko safarini nchini Burundi ambapo amehudhuria hii leo mkutano wa kusisitizia haja ya kutumiwa tofauti za kidini na kikabila kuimarisha utangamano.
Muhammad bin Abdul Karim Issa wa Muslim World League amesema Burundi ni mfano wa kuigwa wa nchi inayoishi katika mshikamano na utangamano licha ya tofauti za kidini.
Mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa ana maelezo zaidi......
Tags