Burundi kuwakusanya watoto wa mitaani "chokoraa" + Sauti
Nov 26, 2018 14:39 UTC
Ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya watoto wa barabarani, huku serikali ya Burundi ikisema inao mpango wa kuwaondoa watoto wa barabarani katika kipindi kisicho zidi miezi mitatu. Wakati huohuo mashirika ya kimataifa yanakadiria kuwepo watoto wa barabarani zaidi ya elf 3 nchini humo. Kwa maelezo kamili tumtegee sikio mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa...
Tags