-
Polisi: Waziri auawa kwa kufyatuliwa risasi Bujumbura, Burundi
Jan 01, 2017 03:49Waziri wa Mazingira wa Burundi ameuawa kwa kufyatuliwa risasi na mtu asiyejulikana usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu Bujumbura.
-
Burundi yatishia kuondoa wanajeshi wake Somalia
Dec 31, 2016 23:25Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametishia kuwa atawaondoa wanajeshi wa nchi yake walioko Somalia iwapo askari hao wanaohudumu katika kikosi cha Umoja wa Afrika UNISOM hawatalipwa mshahara wao.
-
Burundi yatishia kuishtaki AU na kuondoa askari wake Somalia
Dec 31, 2016 03:36Burundi imetishia kuushataki Umoja wa Afrika AU sambamba na kuwaondoa askari wake nchini Somalia wanaohudumu chini ya mwavuli wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Amisom.
-
UN kushiriki katika ufumbuzi wa mgogoro wa Burundi
Dec 28, 2016 11:09Katibu Mkuu Mteule wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa umoja huo una irada thabitii ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa ndani nchini Burundi.
-
Burundi yapasisha sheria kali ya kuzidhibiti asasi za kigeni
Dec 25, 2016 04:14Bunge la Burundi limepasisha muswada wa sheria inayotaka kudhibitiwa asasi zisizo za kiserikali za kigeni, siku chache baada ya Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo kudai kuwa asasi hizo zinafanya kampeni kubwa dhidi ya serikali yake.
-
Wapinzani wazidi kutiwa mbaroni Burundi, wasiwasi waongezeka nchini
Dec 19, 2016 11:28Mkuu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Binadamu nchini Burundi (Iteka) amesema anatiwa wasiwasi na kuzidi kutiwa mbaroni wapinzani nchini humo.
-
Burundi yakadhibisha tuhuma za kukiuka haki za binadamu
Dec 18, 2016 01:08Serikali ya Burundi imekana kwamba inakiuka haki za binadamu licha ya kuendelea mwenendo wa kutoweka raia nchini humo katika mazingira ya kutatanisha.
-
Rwanda yataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake, Burundi
Dec 17, 2016 13:16Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa, nchi yake inataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake Burundi kupitia njia ya mazungumzo
-
Mkapa yuko Burundi kwa ajili ya kuhuisha mazungumzo ya amani
Dec 08, 2016 09:59Benjamin Mkapa mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mgogoro wa Burundi yuko mjini Bujumbura kwa shabaha ya kuhuisha mazungumzo ya amani ya nchi hiyo inayokabiliwa na mgogoro wa kisiasa.
-
Polisi watiwa mbaroni Burundi kwa kutaka kumuua msemaji wa Rais
Dec 04, 2016 03:59Jeshi la polisi nchini Burundi limewatia mbaroni maafisa watatu wa jeshi hilo kwa tuhuma za kushiriki katika jaribio la kutaka kumuua Willy Nyamitwe, msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza.