-
Waislamu Canada: Hujuma dhidi ya Waislamu zimeongezeka mara mbili zaidi
Mar 19, 2017 12:43Baraza la Kitaifa la Waislamu nchini Canada, limeonya juu ya ongezeko la vitendo vya chuki dhidi ya dini ya Uislamu nchini humo.
-
Watu wa Canada wataka bidhaa za Israel zisusiwe
Mar 03, 2017 10:07Watu wa Canada wametaka bidhaa zinazotegenezwa Israel zisusiwe nchini humo kama njia ya kutetea haki za taifa la Palestina.
-
Msikiti mwingine washambuliwa na watu wenye chuki Canada
Feb 04, 2017 01:03Polisi ya Canada imetangaza habari ya kushambuliwa msikiti na watu wenye chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika mji wa Montreal nchini humo.
-
Mauaji ya Waislamu msikitini Canada yaendelea kulaaniwa
Feb 04, 2017 00:26Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema makundi fisadi na ya kibepari yaliyo nyuma ya pazia yanapaswa kuwajibishwa kufuatia mauaji ya Waislamu dani ya msikiti huko Quebec Canada na maeneo mengine ya dunia.
-
Aliyetekeleza mauaji msikitini Canada ni mfuasi sugu wa Trump
Feb 01, 2017 00:50Mwanafunzi wa chuo kikuu aliyetekeleza mauaji dhidi ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakisali katika msikiti mmoja mjini Quebec nchini Canada siku chache zilizopita ni mtu mwenye misimamo ya mrengo wa kulia na mfuasi sugu wa Donald Trump, Rais wa Marekani.
-
Misikiti yafungwa Uholanzi kufuatia shambulizi la Quebec, Canada
Jan 31, 2017 09:54Misikiti minne ya Jamia nchini Uholanzi inatazamiwa kufungwa kutokana na kushadidi chuki dhidi ya Waislamu, siku mbili baada ya shambulizi la kikatili dhidi ya msikiti na kituo cha kidini mjini Quebec nchini Canada.
-
Qassemi alaani shambulio la kigaidi katika kituo cha Kiislamu Canada
Jan 31, 2017 00:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililofanywa dhidi ya kituo cha Kiislamu huko Quebec nchini Canada.
-
Kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu Amerika Kaskazini
Jan 31, 2017 00:39Baada ya kuongezeka hisia za chuki na uadui dhidi ya Waislamu huko Amerika Kaskazini hususan baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump nchini Marekani, hivi sasa matokeo mabaya ya jambo hilo yameanza kuonekana.
-
5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada
Jan 30, 2017 04:08Kwa akali watu watano wameuawa katika hujuma ya kikatili dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada usiku wa kuamkia leo.
-
Msomaji habari wa kwanza mwenye kuvaa Hijabu awavutia wengi Canada
Nov 26, 2016 13:18Mwandishi habari wa kwanza wa kike kusoma habari akiwa amevaa vazi la Kiislamu la Hijabu nchini Canada amewavutia watu wengi nchini humo.