-
Algeria: Genge la Daesh (ISIS) linapanga kufanya mashambulizi makali Afrika
Jan 18, 2018 14:38Gazeti la al-Khabar la Algeria limeandika kuwa, kundi hatari la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linapanga kufanya operesheni kubwa za kigaidi katika nchi za Kiafrika.
-
Kuundwa kundi jipya la ISIS barani Afrika
Jan 16, 2018 04:36Baada ya kuangamizwa genge la wakufurishaji la Daesh (ISIS) katika nchi za Iraq na Syria, sasa magenge yenye misimamo mikali ya kigaidi yametangaza kuunda muungano mpya unaojulikana kwa jina la "Kundi la Daesh katika Jangwa la Sahara."
-
Boroujerdi: Afghanistan na Afrika walengwa wa baadaye wa Daesh
Jan 12, 2018 14:27Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameeleza kuwa magaidi wa kundi la Daesh sasa wameelekea nchini Afghanistan na watajipenyeza pia katika nchi za Kafrika kama ilivyokuwa huko nyuma.
-
'Kuna uwezekano wa kuingia Ujerumaini zaidi ya watoto 100 waliofundishwa na Daesh'
Jan 08, 2018 16:02Duru za ndani ya bunge la Ujerumani zimefichua habari ya kuwepo uwezekano wa kuingia zaidi ya watoto 100 ambao wamefundishwa na makundi ya kigaidi na ukufurishaji hususan Daesh (ISIS) nchini Iraq na Syria.
-
Watoto wa Kiiraqi; wahanga wakubwa wa ugaidi
Jan 08, 2018 02:31Wizara ya Kazi na Masuala ya Jamii ya Iraq imetangaza kupitia taarifa iliyotoa kuwa inachunguza madai kwamba watoto waliokuwa wakilelewa katika kituo kimoja kinachosimamiwa na wizara hiyo katika mkoa wa Nainawa kaskazini mwa Iraq wameuzwa kwa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Kinara wa kundi la ISIS aangamizwa katika mkoa wa Diyala, Iraq
Jan 05, 2018 14:43Mkuu wa kamati ya usalama ya mkoa wa Diyala, nchini Iraq Bw. Sadiq al-Husseini amesema, jeshi la nchi hiyo limemuua kiongozi muhimu wa kundi la ISIS mkoani Diyala, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Helikopta za Marekani zawaokoa viongozi wa Daesh Deir ez-Zor, Syria
Dec 30, 2017 04:27Katika kuendeleza uungaji misaada ya Marekani kwa makundi ya kigaidi na ukufurishaji la Daesh, helikopta za kivita za nchi hiyo zimeonekana usiku wa kuamkia leo zikiruka kuelekea mji wa Deir ez-Zor nchini Syria na kuwabeba viongozi kadhaa za kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) na kuwapeleka mji wa Al-Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Marekani yatuma maelfu ya magaidi wa Daesh barani Ulaya
Dec 27, 2017 15:51Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa, Marekani na wapinzani nchini Syria wamewatuma katika nchi za Ulaya maelfu ya magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh kutokea Syria.
-
Russia yatoa indhari: Kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa DAESH (ISIS) nchini Afghanistan
Dec 24, 2017 16:40Mjumbe maalumu wa rais wa Russia nchini Afghanistan ametoa indhari kuwa wanachama zaidi ya elfu kumi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh hivi sasa wako nchini Afghanistan na kwamba idadi yao inazidi kuongezeka kutokana na kubadilisha maskani yake kundi hilo baada ya kusambaratishwa katika nchi za Syria na Iraq.
-
Waziri wa Sheria wa Algeria: Waalgeria 226 wamejiunga na Daesh
Dec 19, 2017 08:03Waziri wa Sheria wa Algeria ametangaza kuwa raia wa nchi hiyo wasiopungua 226 wameelekea katika nchi za Iraq na Syria kwa ajili ya kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh.